figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #9,521
Good morning sir. Hope ur fine.Good Morning
View attachment 2438245View attachment 2438246View attachment 2438247View attachment 2438248View attachment 2438250View attachment 2438249View attachment 2438252View attachment 2438254View attachment 2438255View attachment 2438253View attachment 2438256
View attachment 2438258View attachment 2438259View attachment 2438260
Wamekufa kama sisimizi. Akili zao zitawakaa sawa tu. Kazi iendelee.
Damu yao iwe juu yao na nduli putin aliyewatuma
Aamen.Damu yao iwe juu yao na nduli putin aliyewatuma
Wamelala wanasubiri kupambazuke waendelee na kazi. 😂😂😂😂
Inazunguka kama tembo mwenye mtoto kachokozwa vile 😂😂😂😂Hii inaitwa Gepard anti-aircraft kutoka Ujerumani. Ndo inaziangamiza Shahed-136 za Iran ambazo Urusi walikuwa wanatumia. Zinasaisia kukinda miundombinu Muhimu. Ndo maana siku ya nne sasa Zinadakwa kila zikiletwa. Urusi asisingizie baridi
View attachment 2438442
Urusi wamezoea kuharibu miundombinu ya Ukraine. Kumbuka tangu Vita ianze, Ukraine imekuwa haishambulii Urusi, ilikuwa ikijilinda na Kirudisha ardhi inayokaliwa kimabavu.
Sasa tumetest drone yetu ya long range ikatua Urusi na kuharibu kambi ya Jeshi, Naona Urusi wanalialia.
Na bado. Walikuwa wanafurahia kuharibu miundombinu ya Ukraine, nao wameota joto la jiwe🤣🤣🤣
View attachment 2438817
Message delivered. A good indicator for Russia to understand that Ukraine can hit Moscow, it is a matter of time.Hii kambi ya Jeshi ya Urusi ya Engels airbase. Ndo ina uwanja mkubwa wa kijeshi wenye Ulinzi muda wote. Ila drone imepenya.
View attachment 2438837View attachment 2438838
Slava Ukraine [emoji1255]Bavovna huko Katikati ya urusi. Watakoma na sijui mafuta ya vifaru watatoa wapi? Hata zima moto wao wanazima kama hawataki. Hapa ni Kursk huko Urusi.
View attachment 2438219