Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

1670391960779.png
 
Hii siku ya nne Zile drone za iran aina ya Shahed-136 kamikaze zimeshindwa kupenya. Zote zinaangushwa hazifikii target. Sasa nasikia Urusi wamesitisha kuzotumia wanadai hazifanyi kazi kwenye baridi. Urusi wanadai hawahaishiwa drone bali hali ya hewa. Kama hali ya hewa mbona wanazidi kushambulia kwa drone? Sema zinaangushwa sana.
20221207_113141.png
 
Hii inaitwa Gepard anti-aircraft kutoka Ujerumani. Ndo inaziangamiza Shahed-136 za Iran ambazo Urusi walikuwa wanatumia. Zinasaisia kukinda miundombinu Muhimu. Ndo maana siku ya nne sasa Zinadakwa kila zikiletwa. Urusi asisingizie baridi
 
View attachment 2438442
Inazunguka kama tembo mwenye mtoto kachokozwa vile 😂😂😂😂
 
Urusi wamezoea kuharibu miundombinu ya Ukraine. Kumbuka tangu Vita ianze, Ukraine imekuwa haishambulii Urusi, ilikuwa ikijilinda na Kirudisha ardhi inayokaliwa kimabavu.
Sasa tumetest drone yetu ya long range ikatua Urusi na kuharibu kambi ya Jeshi, Naona Urusi wanalialia.

Na bado. Walikuwa wanafurahia kuharibu miundombinu ya Ukraine, nao wameota joto la jiwe🤣🤣🤣
 
mdogo mdogo

View attachment 2438817
 
Kambi ya Jeshi la Urusi ya Engels airbase iliyoshambuliwa na drone ya Ukraine iliyotengenezwa na Ukraine. Ukraine ilikuwa inatest kama inafika. Hii drone ina uwezo wa kupiga range ya 1000km na uzoto wa 75kg.. Iliharibu ndege mbili na watu wawili walijeruhiwa.
 
Hii kambi ya Jeshi ya Urusi ya Engels airbase. Ndo ina uwanja mkubwa wa kijeshi wenye Ulinzi muda wote. Ila drone imepenya.
View attachment 2438837View attachment 2438838
Message delivered. A good indicator for Russia to understand that Ukraine can hit Moscow, it is a matter of time.

Siku wakiswagwa kwenye territories za Ukraine, huenda tukaja kushuhudia mengi yaliyokuwa yanasemwa haiwezekani kwa Russia yakawezekana mbele ya Ukraine.

Li nchi kubwa kama Russia lenye 17,098,242 SQR KM (mara 28 zaidi ya eneo la Ukraine yenye 603,550 SQR KM) nani alitegemea kuwa anaweza akapigwa na nchi ndogo kama Ukraine. Muda utaongea tu, labda USA, NATO na EU waache kumpa Ukraine msaada wa vifaa vya kijeshi
 
Back
Top Bottom