Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Slava Ukraine [emoji1255]
 
Wahenga walishagasema "Ukubwa wa pua sio uwingi wa kamasi" ni kweli Urussi ni linchi likubwa kwa eneo lakini sio likubwa kwa akili, mipango na busara. Lipolipo tu kama broiler chicks. Wale wamasai walisema "Think before you leap" Sasa huyo juha(Putin) akapuuzia hilo na kukurupukia vita bila kujipanga.
Hao USA, NATO na EU hawataacha kumpa Ukraine msaada kwani vita hii ina maslahi makubwa kwao ki-Usalama na ki-Uchumi.
Mrussi angelikuwa ni mtu mtulivu na mpenda amani, labda ingekuwa hivo. Lakini maadam Mrussi ni jeuri, mbabe na mpenda vita hao westerners lazima watamng'ang'ania kooni hadi mwisho.
 
Kama kweli hilo limewezekana,Yan Ukraine ametengeneza na kutest drone yake mwenyewe na ikafanikisha target; basi Mrussi atalizwa mno-mno. Mrussi ni hata (cjui nimwiteje)ni juha lililobobea. Upo msemo wa wabongo usemao "Nguo ya kuazima haisitiri matako" Mrussi Drones alizokuwa anatamba nazo sio za kwake ni nguo ya kuazima Iran. Sasa Ukraine drones anazotumia ni za kujitengenezea mwenyewe sio za kuazima au za kununua nje. (The Project is sustainable 100%)
Mrussi atachoka kweli-kweli. Sasa ni "zamu ya Ukraine kumtesa Mrussi" W'allah Ukraine kwa machungu aliyonayo kwa Mrussia, atampiga Mrussi kama ngoma hadi hapo Putin atakapoomba suluhu na pengine hata asikubaliwe.
 
Juzi Putin aliwaambia wajumbe wa security council kuwa vita itachukua muda mrefu (long period) kuisha lakini wataendelea kupigana kulinda interest za Russia. Maana yake sasa kashaelewa kuwa siyo yale masaa 72 aliyosema bali hata yeye hajui vita itaisha lini.
 
Ndo zake hizo.Wenzake wanayo mahesabu ya vita itaisha lini na kwa namna gani. Yeye kalagabaho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…