Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Haipiti siku urusi inawaka Moto. Naona vijana wapo kazini.

Na huu ni ushahidi tosha kwamba siku wakiamua kuondoka na andunje hawashindwi.
 
Haipiti siku urusi inawaka Moto. Naona vijana wapo kazini.

Na huu ni ushahidi tosha kwamba siku wakiamua kuondoka na andunje hawashindwi.
Hapo wanampeleka mdogo mdogo lakini hatimaye watamgonga na kitu kizito. We subiri uone.
 
Bado ana muda, masaa 72 bado hayajaisha. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Vita imemchanganya hadi amesahau hata kile alichosema.Siku hizi naona amebadili mwendo na amejivika lugha ya upole kama wanavyokuwa askari wake wanapotekwa huwa wapole na wadogo kama piriton.
 
Hii taarifa hata mimi nimeiona tusubiri muda utatoa picha kamili kama ni kweli.
 
6missile --2intercepted 4 zimehit target

Air Defense za Urusi ni Mafi. Ni kuwa tu hazijapelekewa moto wa kutoshaView attachment 2443038
HIMARS, hii kitu ikikohoa ujue imefanya yake. Imemfanya mrusi awe anaficha silaha kwa mafungu mafungu kama nyanya. Siku ikipata long range missile, atatoa meli zake za kivita Black sea na sea of Azov. Military Base zake za Kursk, Rostov, Krasnodar na Belgorod lazima asihamishe. Hizi ndo base kubwa zinazotumika ku supply silaha uwanja wa vita.
 
MoD ya Ukraine imesema inakadiria Wanajeshi 100
 
Duh! Mrussi na Mamluki wake (Wagner)wamepewa darasa la Utambulisho(Introductory course) wasubirie yajayo yanafurahisha zaidi.
Wagner wanaing'ang'ania Bakhmut utadhani kuna kitu walisahau. Wako tayari kufia Bakhmut. Kuna maeneo wameyachukua tena kama Ozarianivka, Zelenopillya, Kurdyumvika, na Ivahrad.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…