Bado ana muda, masaa 72 bado hayajaisha. 😂😂😂Vita imeshakuwa ngumu, anajuta kuianzisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado ana muda, masaa 72 bado hayajaisha. 😂😂😂Vita imeshakuwa ngumu, anajuta kuianzisha
Slava Ukraine [emoji1255]Naona Urusi wanatafutana. Walioko ndani wanatoka nje na waliopo nje wanaingia ndani
View attachment 2440764
Angalau raia wao nao wameanza kuona moshi,maana vita walikuwa wanaisikia kwenye vyombo vya habari kama uvumi,sasa ndo wanaelewa waendako.Hapa sio Kyiv, bali hapa ni Moscow Urusi
View attachment 2440779
Na anaona aibu "kukubali yaishe" .Vita imeshakuwa ngumu, anajuta kuianzisha
Hapo wanampeleka mdogo mdogo lakini hatimaye watamgonga na kitu kizito. We subiri uone.Haipiti siku urusi inawaka Moto. Naona vijana wapo kazini.
Na huu ni ushahidi tosha kwamba siku wakiamua kuondoka na andunje hawashindwi.
Vita imemchanganya hadi amesahau hata kile alichosema.Siku hizi naona amebadili mwendo na amejivika lugha ya upole kama wanavyokuwa askari wake wanapotekwa huwa wapole na wadogo kama piriton.Bado ana muda, masaa 72 bado hayajaisha. 😂😂😂
figganigga
Naomba umeseme neno hapa
Kunae taarifa kuwa HIMARS imepita na barracks za Wagner na kula vichwa zaidi ya 300 huko Melitopol
Hii taarifa ni kweli?
Himars targeted and hit a Wagner' PMC barrack's hotel complex in #Melitopol only 3 badly wounded and rest 300+ eliminated instantly[emoji88][emoji879]
View attachment 2442746
---
Melitopol
Crimea
Kote kimewaka
CNN: Ukraine launches missile attack on Russian-occupied Melitopol, explosions reported in Donetsk and Crimea | CNN
Naam mambo yanaanza kufunguka kumbe ile habari ni kweli ila sasa kuhusu idadi ya waliofyekwa ndio bado haijawekwa wazi.6missile --2intercepted 4 zimehit target
Air Defense za Urusi ni Mafi. Ni kuwa tu hazijapelekewa moto wa kutoshaView attachment 2443038
Duh! Mrussi na Mamluki wake (Wagner)wamepewa darasa la Utambulisho(Introductory course) wasubirie yajayo yanafurahisha zaidi.Naam mambo yanaanza kufunguka kumbe ile habari ni kweli ila sasa kuhusu idadi ya waliofyekwa ndio bado haijawekwa wazi.
HIMARS, hii kitu ikikohoa ujue imefanya yake. Imemfanya mrusi awe anaficha silaha kwa mafungu mafungu kama nyanya. Siku ikipata long range missile, atatoa meli zake za kivita Black sea na sea of Azov. Military Base zake za Kursk, Rostov, Krasnodar na Belgorod lazima asihamishe. Hizi ndo base kubwa zinazotumika ku supply silaha uwanja wa vita.6missile --2intercepted 4 zimehit target
Air Defense za Urusi ni Mafi. Ni kuwa tu hazijapelekewa moto wa kutoshaView attachment 2443038
MoD ya Ukraine imesema inakadiria Wanajeshi 100figganigga
Naomba umeseme neno hapa
Kunae taarifa kuwa HIMARS imepita na barracks za Wagner na kula vichwa zaidi ya 300 huko Melitopol
Hii taarifa ni kweli?
Himars targeted and hit a Wagner' PMC barrack's hotel complex in #Melitopol only 3 badly wounded and rest 300+ eliminated instantly[emoji88][emoji879]
View attachment 2442746
---
Melitopol
Crimea
Kote kimewaka
CNN: Ukraine launches missile attack on Russian-occupied Melitopol, explosions reported in Donetsk and Crimea | CNN
Tungejua maana lazima Crimea bridge ingepigwaMarekani itakuwa imempa Ukraine long range missiles
Lazima itaanza na maghala ya silaha yaliyopo ndani ya Urusi pamoja na meli zake za kivita alizozisogeza Novorossiysk kutoka sevastopol.Tungejua maana lazima Crimea bridge ingepigwa
Wagner wanaing'ang'ania Bakhmut utadhani kuna kitu walisahau. Wako tayari kufia Bakhmut. Kuna maeneo wameyachukua tena kama Ozarianivka, Zelenopillya, Kurdyumvika, na Ivahrad.Duh! Mrussi na Mamluki wake (Wagner)wamepewa darasa la Utambulisho(Introductory course) wasubirie yajayo yanafurahisha zaidi.