Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi
Huyu ndo yule Mnyarwanda mwenye Uraia wa Marekani alikuwa anaipambania ukraine akatekwa. So kaachiwa huru baada ya kubadilishana wafungwa. Anaitwa Suedi Murekezi
Anakuambia Bakhumut ni Ukraine. Warusi wataondoka tu
Brass band ya Ukraine huko Frontline. Mwisho wa siku ni kuburudika.
Frontline machozi jasho na damu. Evacuation
Hawa Warusi, safari ya kuvamia Ukraine iliishia hapa
Azov Regiment vijana wasio na kanuni wapo huku
Maisha ya Bakhmut. 24/7 ni milio ya risasi
HIMARS inakuwa na wapambe wengi sana. Sio rahisi kutekwa sababu inalindwa hadi na vifaru. Halafu yenye inakimbia kama V8
Warusi wakidakwa wanakuwa wapole kama Piriton.