Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Slava Ukraine [emoji1255]
 
Enhe!! Atakapofika mfalme wa vita, ole wao - patachimbika πŸ’ͺ πŸ’ͺ πŸ’ͺ πŸ”¨ Mrussi hatopata hata muda wa kuvaa boxer.πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
Mfalme ni Patriot missile long range air defense system. Russia kashaanza kihoro wanaume waliposema kuwa wanapeleka mzigo wa kushughulika na missiles alizoagiza kutoka Iran
 
Mfalme ni Patriot missile long range air defense system. Russia kashaanza kihoro wanaume waliposema kuwa wanapeleka mzigo wa kushughulika na missiles alizoagiza kutoka Iran
Dah! Iran bhana..... yan yeye anajali biashara tu haangalii na wala hajali kwamba makombora yake hayo yanaenda kutumika kumdhuru nani. Iran hajiulizi Kama Mrussi ni supa pawa imekuwaje tena aende kuomba kununua makombora kutoka kwake. Si atengeneze ya kwake mwenyewe? Iran hatumii busara na hekima. Iran = Idiot.
 
Huyo mfalme (Patriot) yuko kwenye nchi 17 tu duniani including USA. Pamoja na kwamba siyo cost effective kutumia Patriot, lakini kwa hali ilivyo Ukraine lazima zitumike. Anatungua Missiles hatari. Hebu niambie una NASAMS, IRIS-T, Gepard na Patriot. Mzigo wote ukifika na kuanza kufanya kazi lazima Putin atafute uchochoro wa kutokea. Patriot yupo hapo tu karibu Poland na Romania.
 
Na hapo NASAMS ni 1
IRIS T hazizidi 2

Pata picha Iris T ziko 5

Nasams 2

Patriot 2

Gepards 100
 
Na hapo NASAMS ni 1
IRIS T hazizidi 2

Pata picha Iris T ziko 5

Nasams 2

Patriot 2

Gepards 100
Kinacho matter ni coverage na main purpose ya hiyo defense system. Patriot 2 au NASAMS 2 haziwezi kutosha kulinda anga la Ukraine. Zinawekwa strategically. Sema USA haiwezi kupeleka Patriot nyingi, zina gharama na running cost ya Patriot ni kubwa sana.
 
Hata kwa hicho alichotoa sio haba; Tunamshukuru sana. Mungu ajaze pale alipopuguza na kutupatia sisi.
 
Mu
Mungu awape wepesi wapone haraka waendelee kuitetea nchi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…