OSEFUKANY
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 2,437
- 3,896
Hata mimi.Tena Kremlin ndo ingekuwa ya kwanza kuishughulikia kwa hasira zote.Ningekuwa napigania ukraine ningezivurumisha hizi ziangukie Klemlin
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi.Tena Kremlin ndo ingekuwa ya kwanza kuishughulikia kwa hasira zote.Ningekuwa napigania ukraine ningezivurumisha hizi ziangukie Klemlin
Good Morning our heroes. Hope ur Fine and Fit
Slava Ukraine [emoji1255]Gepards 30 zinafanya kazi ya kulinda anga la Ukraine sehemu zenye miundombinu muhimu Ukraine.
View attachment 2448301
Slava Ukraine [emoji1255]Kamanda mkuu wa vikosi vya Ukraine Valeriy Zaluzhnyi amesema, Ukraine anataka apewe vifaru 300, Magari ya kubebea Wanajeshi na Kibeba risasi Frontline 600-700 na owitzers 500. Then wamuachie kazi ya kuwachakaza Urusi. Anadai Urusi anapigika kirahisi sana..
View attachment 2448321
Slava Ukraine [emoji1255]HIMARS inakuwa na wapambe wengi sana. Sio rahisi kutekwa sababu inalindwa hadi na vifaru. Halafu yenye inakimbia kama V8
View attachment 2448408
Huyo ni malkia wa vita 😂😂😂HIMARS inakuwa na wapambe wengi sana. Sio rahisi kutekwa sababu inalindwa hadi na vifaru. Halafu yenye inakimbia kama V8
View attachment 2448408
Enhe!! Atakapofika mfalme wa vita, ole wao - patachimbika 💪 💪 💪 🔨 Mrussi hatopata hata muda wa kuvaa boxer.🏃♂️🏃♂️Huyo ni malkia wa vita 😂😂😂
Mfalme ni Patriot missile long range air defense system. Russia kashaanza kihoro wanaume waliposema kuwa wanapeleka mzigo wa kushughulika na missiles alizoagiza kutoka IranEnhe!! Atakapofika mfalme wa vita, ole wao - patachimbika 💪 💪 💪 🔨 Mrussi hatopata hata muda wa kuvaa boxer.🏃♂️🏃♂️
Dah! Iran bhana..... yan yeye anajali biashara tu haangalii na wala hajali kwamba makombora yake hayo yanaenda kutumika kumdhuru nani. Iran hajiulizi Kama Mrussi ni supa pawa imekuwaje tena aende kuomba kununua makombora kutoka kwake. Si atengeneze ya kwake mwenyewe? Iran hatumii busara na hekima. Iran = Idiot.Mfalme ni Patriot missile long range air defense system. Russia kashaanza kihoro wanaume waliposema kuwa wanapeleka mzigo wa kushughulika na missiles alizoagiza kutoka Iran
Huyo mfalme (Patriot) yuko kwenye nchi 17 tu duniani including USA. Pamoja na kwamba siyo cost effective kutumia Patriot, lakini kwa hali ilivyo Ukraine lazima zitumike. Anatungua Missiles hatari. Hebu niambie una NASAMS, IRIS-T, Gepard na Patriot. Mzigo wote ukifika na kuanza kufanya kazi lazima Putin atafute uchochoro wa kutokea. Patriot yupo hapo tu karibu Poland na Romania.Dah! Iran bhana..... yan yeye anajali biashara tu haangalii na wala hajali kwamba makombora yake hayo yanaenda kutumika kumdhuru nani. Iran hajiulizi Kama Mrussi ni supa pawa imekuwaje tena aende kuomba kununua makombora kutoka kwake. Si atengeneze ya kwake mwenyewe? Iran hatumii busara na hekima. Iran = Idiot.
Na hapo NASAMS ni 1Huyo mfalme (Patriot) yuko kwenye nchi 17 tu duniani including USA. Pamoja na kwamba siyo cost effective kutumia Patriot, lakini kwa hali ilivyo Ukraine lazima zitumike. Anatungua Missiles hatari. Hebu niambie una NASAMS, IRIS-T, Gepard na Patriot. Mzigo wote ukifika na kuanza kufanya kazi lazima Putin atafute uchochoro wa kutokea. Patriot yupo hapo tu karibu Poland na Romania.
Kikosi cha Drones huwa kinanipa raha sana 😂😂Drone sio kushambulia tu bali hata kulinda misafara.
View attachment 2449102
Kinacho matter ni coverage na main purpose ya hiyo defense system. Patriot 2 au NASAMS 2 haziwezi kutosha kulinda anga la Ukraine. Zinawekwa strategically. Sema USA haiwezi kupeleka Patriot nyingi, zina gharama na running cost ya Patriot ni kubwa sana.Na hapo NASAMS ni 1
IRIS T hazizidi 2
Pata picha Iris T ziko 5
Nasams 2
Patriot 2
Gepards 100
Hata kwa hicho alichotoa sio haba; Tunamshukuru sana. Mungu ajaze pale alipopuguza na kutupatia sisi.Kinacho matter ni coverage na main purpose ya hiyo defense system. Patriot 2 au NASAMS 2 haziwezi kutosha kulinda anga la Ukraine. Zinawekwa strategically. Sema USA haiwezi kupeleka Patriot nyingi, zina gharama na running cost ya Patriot ni kubwa sana.
Mungu awape wepesi wapone haraka waendelee kuitetea nchi yao.Frontline sio mambo rahisi. Mnafika kipindi hospital za rufaa za Frontline zinaishiwa damu. Mtu anakufa unamiona kwa kukosa damu. Ila hakuna kukata tamaa. Napost hii ili mpate picha mambo yalivyo. Ndo maana Azpv wanawakata Masikio Warusi. Ukraine ilikuwa Nchi ya Amani hadi Urusi walipovamia Kanchi kadogo kama Ukraine.
View attachment 2448110View attachment 2448111View attachment 2448112View attachment 2448113View attachment 2448114View attachment 2448115View attachment 2448116
Hiyo kitu -acha kabisa ni balaa. Inakohoa na Mwanaume anayumba nayo na kuikomalia utadhani anacheza Rege. Ukraine ni ngangari ni mwamba kweli. 💪 💪 🔨