figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #961
Asante kwa taalifaHawa Jamaa Walizungukwa. Risasi zikawaishia, Chakula kikawaishia wakatiwa Mawasiliano na Maji mjini Mariupol. Katika kujinasua, ikabidi wachache wajisalimishe wengine waweze kutoroka. Walitoka kwa Njia nne. Vikosi vitatu vilifanikiwa kutoroka, kimoja kilikamatwa kwenye Mtego. Hakuna aliyeuawa. Hawafiki 1000. Ni kati ya 50 na 70.
Wataachiwa. Hii ndo faida ya Mateka kwani mnabadilishana.
Kwa maneno haya nakuamini kwanzia leoHawa Jamaa Walizungukwa. Risasi zikawaishia, Chakula kikawaishia wakatiwa Mawasiliano na Maji mjini Mariupol. Katika kujinasua, ikabidi wachache wajisalimishe wengine waweze kutoroka. Walitoka kwa Njia nne. Vikosi vitatu vilifanikiwa kutoroka, kimoja kilikamatwa kwenye Mtego. Hakuna aliyeuawa. Hawafiki 1000. Ni kati ya 50 na 70.
Wataachiwa. Hii ndo faida ya Mateka kwani mnabadilishana.