Hahahaaa ndiooooooNa kweli wapo watu walisemaga Mrussi hakuna rangi ataacha kuona. Sasa hii ni HIMARS au HYMERS ? Bado-bado kidogo huko tuendako ataita Guta ni Gepard. Hahahaaa [emoji2] [emoji2]
Hahahaa. Kumbe naniliu haiunguagi kwa moto? au ni kwa sababu na yenyewe inapelekaga moto kulee?. π π π ππββοΈ