Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Control room Frontline ya Ukraine.. Hii imeunganishwa kwenye satellite na askari watembea kwa miguu na Drones za Ukraine. Hivyo ni rahisi kujua adui yupo wapi na ana silaha gani
20230104_154424.jpg
 
Hii sehemu walipokuwa zamani ilikuwa ni shule. Jana walikusanyika kufanya Sherehe za mwaka mpya. Hawakuwaza Ukraine ipo Vitani. Wakakusanyika Warusi, familia zao na Waukraine wanaowaunga Mkono(wasaliti). HIMARS ikawanusa. Wamekufa zaidi ya 300. Hao 63 wanaosemwa ni Wapiganaji wagners walioalikwa.

Picha hapa chini ndo jengo sehemu walipokuwa.
View attachment 2467337View attachment 2467338
Slava Ukraine [emoji1255]
 
Back
Top Bottom