Na hawataki kusema kuwa vifaa vyao vimeangamizwa vyote eneo hilo.Ukiona amesema 63, Chukua hiyo namba zidisha kwa 10
Siku zote wanashauliwa waweke maghala yao umbali wa 300KM kutoka alipo bwana HIMARS. Sasa wamepata wameamini. Nadhani watatekeleza ushauri wanaopewa.