Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hii sehemu walipokuwa zamani ilikuwa ni shule. Jana walikusanyika kufanya Sherehe za mwaka mpya. Hawakuwaza Ukraine ipo Vitani. Wakakusanyika Warusi, familia zao na Waukraine wanaowaunga Mkono(wasaliti). HIMARS ikawanusa. Wamekufa zaidi ya 300. Hao 63 wanaosemwa ni Wapiganaji wagners walioalikwa.

Picha hapa chini ndo jengo sehemu walipokuwa.
View attachment 2467337View attachment 2467338
Yote "Jagajagaaaa" 😂😂😂
 
Na hawataki kusema kuwa vifaa vyao vimeangamizwa vyote eneo hilo.

Siku zote wanashauliwa waweke maghala yao umbali wa 300KM kutoka alipo bwana HIMARS. Sasa wamepata wameamini. Nadhani watatekeleza ushauri wanaopewa.
Aah! wapi. Shingo ngumu kama kichwa cha panzi na akili kisoda. Eti sasa anajiandaa kutoa majibu badala ya kuzingatia kwanza kutekeleza haraka ushauri alopewa bure. Mrussi Jinga, juha kweli. Ngoja wazee wa HIMARS warudi kufanya ukaguzi halafu wakute bado.
 
Hii sehemu walipokuwa zamani ilikuwa ni shule. Jana walikusanyika kufanya Sherehe za mwaka mpya. Hawakuwaza Ukraine ipo Vitani. Wakakusanyika Warusi, familia zao na Waukraine wanaowaunga Mkono(wasaliti). HIMARS ikawanusa. Wamekufa zaidi ya 300. Hao 63 wanaosemwa ni Wapiganaji wagners walioalikwa.

Picha hapa chini ndo jengo sehemu walipokuwa.
View attachment 2467337View attachment 2467338
Naam! Asante sana waheshimiwa wazee wa HIMARS - Kongole kwenu kwa kazi iliyotukuka. Tumekisikia kilio kikitokea pande za huko Urussi.
 
Aah! wapi. Shingo ngumu kama kichwa cha panzi na akili kisoda. Eti sasa anajiandaa kutoa majibu badala ya kuzingatia kwanza kutekeleza haraka ushauri alopewa bure. Mrussi Jinga, juha kweli. Ngoja wazee wa HIMARS warudi kufanya ukaguzi halafu wakute bado.
Na hapo bado zile Drones zinazorusha mabomu kimo cha mtamba wa panya kuwafurusha kwenye mashimo. 😂😂😂

Ukimsoma adui ukajua namna ya ku deal naye raha sana. 😂😂😂

Yale ma pyramids yao sijui yaliishia wapi. Siwaoni wakijikinga nayo 😂😂
 
Yale ni kwa ajili ya risasi ziendazo sambamba na uso wa ardhi lakini sio kwa ajili ya hivi vitu vizito. Wataishia kwenye mashimo yao na humo ndo watakuwa wamejizika wenyewe.
 
Warussi wanajing'atang'ata tu hawanyooshi maelezo. Kipigo walichopewa bado wenge halijaisha.
Kilichowaua zaidi yale mabomu yao. Maana walikuwa wameweka ndani ya hilo jengo. Silaha zililipuliwa na kusababisha moto mkubwa sana. Ndiyo maana wamekufa wengi.

Jamaa walipiga target hasa. Kama ni kupona labda ambaye alikuwa nje ya jengo kwa mbali.
 
Huko hawaendagi porini kujisaidia au kula tunda kimasihara na ilikuwa ni usiku. Kwa mantiki hiyo yumkini hakuna aliyesalimika; labda iwe ni wale waliokuwa bado wapo mbali njiani kuja kuhudhuria kwenye sherehe.
Lakini tuseme ukweli Mrussi ni mpumbavu kiwango cha PhD. Utafanyaje sherehe juu ya mzigo wa makombora?? Ammunitions - ground floor halafu watu 1st na 2nd Floor ndo hesabu la Mrussi hilo. 😳 Stupid boy
 
Hii sehemu walipokuwa zamani ilikuwa ni shule. Jana walikusanyika kufanya Sherehe za mwaka mpya. Hawakuwaza Ukraine ipo Vitani. Wakakusanyika Warusi, familia zao na Waukraine wanaowaunga Mkono(wasaliti). HIMARS ikawanusa. Wamekufa zaidi ya 300. Hao 63 wanaosemwa ni Wapiganaji wagners walioalikwa.

Picha hapa chini ndo jengo sehemu walipokuwa.
View attachment 2467337View attachment 2467338
Wanasherehekea kwenye ardhi ya watu,acha wafe
 
Pigzhin yule mkuu wa kikosi cha mamluki cha Wagner akiri kwamba ngoma huko Bakhmut siyo nyepesi. Asema kuwa Kila Nyunba ya Waukrian nyuma yake ni kama kuna defensive line ya Waukraine
Uungwana ni vitendo, bora amekiri kwa kuusema ukweli. Lakini wale warusi wa kwa mtogole wenye mrengo wa kiimani, hata ukimchinja hawezi kusema kweli, maana wanasukumwa na imani ya kidini siyo facts
 
Kule Kherson inasemwa kuwa huko nako HIMARS imefanya mambo yake , zaidi ya askari 500 wa Urusi wamerestishwa.

View attachment 2467842
Nasema, nileteeni hapa HIMARS nimuone, ametesa sana warusi. Kwani HIMARS ni nani mpaka atese hivo warusi. Nileteeni HIMARS nimuone, Kaua watoto na wajukuu wa Urusi. 😂😂😂
 
Back
Top Bottom