Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Endeleeni tu kijifariji na vivideo uchwara ukweli ni kwamba Ukraine imeharibiwa vibaya sana..
 
Endeleeni tu kijifariji na vivideo uchwara ukweli ni kwamba Ukraine imeharibiwa vibaya sana..
Na je, utasemaje kuhusu yaliyojiri huko barracks ya Makiivka usiku wa kuamkia mwaka 2023? hapo itakuwa imeharibiwa vizuri sana au nayo ni mojawapo ya vivideo uchwara? Jitahidi kuwa mkweli katika nafsi yako na punguza ushabiki wa ki-adolescence.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…