Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Sasa huyu Mrusi analia, nani kamleta Ukraine? Kasikia sauti, "Piga risasi huyo tuondoke" eti akaanza kulia🤣🤣
View attachment 2469453
Anatia huruma kijana wa watu. Lakini si alijua kwamba kwa kuja kwake Ukraine ni kitu gani kinachoweza kumpata??? sasa analia nini?. Pambafu! piga.🔨🔨💪
 
Endeleeni tu kijifariji na vivideo uchwara ukweli ni kwamba Ukraine imeharibiwa vibaya sana..
 
Endeleeni tu kijifariji na vivideo uchwara ukweli ni kwamba Ukraine imeharibiwa vibaya sana..
Na je, utasemaje kuhusu yaliyojiri huko barracks ya Makiivka usiku wa kuamkia mwaka 2023? hapo itakuwa imeharibiwa vizuri sana au nayo ni mojawapo ya vivideo uchwara? Jitahidi kuwa mkweli katika nafsi yako na punguza ushabiki wa ki-adolescence.
 
Back
Top Bottom