Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Mm bado cjaelewa point ya hii mada, kwahy Ukraine wanashirikiana kuharibu nchi yao kwa kuwapiga Russia ndani ya nchi yao wenyewe.? Kwann wasitume makombora au wanajeshi kwenda Russia wapiganie huko kwenye ardhi ya Russia.?
Mwizi kaingia kwako akiwa na shoka anataka apambane akupole nyumba yako, we ukanyanyua nondo ukairusha ikampiga halafu ikaenda kuangukia kabati la kioo likavunjika

Halafu anakuja mtu anakuambia umefanya jambo la kijinga kuharibu samani za nyumba yako kwa kuhangaika kujilinda dhidi ya mwizi wakati ungeweza kumfata kwake na hiyo nondo ukampigia huko kuliko kumpigia sebuleni kwako ukaendelea kuharibu mali zako mwenyewe
 
Nmekuelewa, sasa hv teknolojia ya kivita imekuwa sana wakati unampiga adui ukiwa kwako pia unaweza kumpiga huko kwake mana kwake ndipo kwenye kiini ya vita, mfano Ukraine wakat anapigana na Russia akiwa nyumbani anaweza pia kutuma kombora kulipua Ikulu ya Russia ambako ndipo penye kiini cha vita
 
Sasa hiyo si mpaka uwe umehakikisha hapo nyumbani umewadhibiti?

Nyumbani hujaweza kuwadhibiti halafu unataka kwenda kwao utawezaje?
 
Kikosi cha anga cha Ukraine, 59th Motorized Brigade kikiangamiza vifaru vya Urusi kwa kutumia Drone
Your browser is not able to display this video.
 
Bc mtu akija kwenye huu uzi bila kujua kinachoendelea huko duniani anaweza kudhani Ukraine anamuwashia moto wa ajabu Russia kumbe sio.
 
Bc mtu akija kwenye huu uzi bila kujua kinachoendelea huko duniani anaweza kudhani Ukraine anamuwashia moto wa ajabu Russia kumbe sio.
Ukraine mbona kapigika sana na hilo liko wazi kwa kila mtu ambaye ana access ya mitandao ya kijamii

Huu ni uzi ulio chagua kuongelea ya upande mmoja wa mazuri kuhusu Ukraine

Lakini haina maana kwamba Urusi hana madhara ambayo amesababisha huko ukraine
 
Huu ni uzi ulio chagua kuongelea ya upande mmoja wa mazuri kuhusu Ukraine
Yap hii ndo point niliyokuwa naitaka.
inatakiwa mtu ukija kwenye huu uzi bc ufahamu kabisa huu ni uzi wa team Ukraine hvy mambo ya ki-Russia aweke pembeni.
 
Yap hii ndo point niliyokuwa naitaka.
inatakiwa mtu ukija kwenye huu uzi bc ufahamu kabisa huu ni uzi wa team Ukraine hvy mambo ya ki-Russia aweke pembeni.
Ni kweli kwani ni hili jambo limefanyika kwa siri? mbona hata title tu inaonesha

Russia naye ana mengi mazuri ya kuelezewa kwenye hii vita ila kwa bahati mbaya wapambe wake wamekuwa nyuma sana kumsaport
 
Nme kupendekeza uwe chawa wa Russia kumpa sapoti ili tupime mizani 😁😁
 
Nme kupendekeza uwe chawa wa Russia kumpa sapoti ili tupime mizani 😁😁
Ofsa mi sina upande kwenye hii vita mi nachangia mada kulingana na tukio husika na kwa mujibu wa data zilizowekwa

Leo ukileta mada kuwa Ukraine kapigwa ukaonesha namna walivyo shambuliwa hakika nitasema putin ni mbabe, ila kesho ikija taarifa kuwa ukraine kawakimbiza warusi nitasema ukraine kafanikiwa kuwadhibiti warusi

Hii vita mi hainihusu, sina ndugu ukraine sina ndugu urusi na sitarajii kuwa nao siku za mbeleni.

Ukraine pamoja na kwamba kawa muhanga kwa kuvamiwa lakini kashindwa kuweka dhana ya umoja. Waafrika kibao wamebaguliwa kwa kuwanyima access ya kusafiri kuepuka vita

Hiyo sio dalili nzuri hata kidogo, japo watu wanasema wazungu ni kawaida yao kutubagua kwa hiyo sio sawa kumkemea hivyo ukraine.

Mi nasema hapana, kosa lililofanywa na mtu mwingine na kuchukuliwa kawaida halifanyi kosa la sasa lionekane sio kosa. Ukraine kwa hili siwezi kuwaona kama ni watu wanaotuthamini sisi waafrika, natamani mwafrika anayeshabikia ukraine alijue hili.
 
Kikosi cha 59th Motorized Brigade cha Ukrainian, kinahusika hapa
 
Angalia Urusi walivyo poteza.
Your browser is not able to display this video.
 
United Arab Emirates, Watoa Msaada wa Tani 50 za madawa na huduma ya kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…