HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Anzisha propaganda yakoMm bado cjaelewa point ya hii mada, kwahy Ukraine wanashirikiana kuharibu nchi yao kwa kuwapiga Russia ndani ya nchi yao wenyewe.? Kwann wasitume makombora au wanajeshi kwenda Russia wapiganie huko kwenye ardhi ya Russia.?