Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Mzigo wa Vifaru aina ya MBT(Main battle tank) ambao umefika Ukraine. Hispania imejitahidi sana..

🇩🇪 14x Leopard 2A6
🇵🇱 14x Leopard 2 (A5?)
🇪🇸 53x Leopard 2A4
🇵🇹 4x Leopard 2A6
🇬🇧 14x Challenger 2
🇺🇸 31x Abrams M1A1
🇳🇴 up to 8x Leopard 2A4NO

Mzigo unaosubiriwa:

🇸🇪 14x Leopard 2A5
🇳🇱 14x Leopard 2 (A5?)
🇫🇮 10x Leopard (A5?)
🇩🇰6 Leopard 2A5
 
Duu mzigo ukifika wote watakuwa wamepata vifaru 150 vya Leopard ambayo ni nusu ya mahitaji
Ni nchi gani inayotoa vifaru 53. Bendera imenichenga
 
Sawa kabisa...

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hivi hiyo jagajagaa anakuwa na maana gani huwa ananifurahisha sana

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Ni neno linalotumia kihisia zaidi. Kitu kikiondoka kwenye uhalisia wake (Disorderly) kimekuwa jaga. Mfano mtu akisema nyang'anyang'a maana yake hicho kitu kimeharibika au kuteketea hakiko kwenye uhalisia wake. Ki ukrainian neno jaga jaga ni kama nyang'anyang'a kwa kiswahili. Ni kama Lipumba alivyokuwa anatumia neno Ndembwedembwe kwenye siasa. Ni maneno yanayotamkwa kuwakilisha hisia ya hali fulani.

Wataalam ya kiswahili wanaweza kuelezea zaidi.

Kiufupi JAGA JAGA ni sawa na Nyang'anyang'a
 
Mkuu Figganigga vipi yule sniper wetu Wali anaendeleaje.Pia tunaomba uwe unatuwekea idadi ya askari wa urusi waliokwishakufa na kijeluhiwa kama zamani ulivokua unafanya.Hongera Kwa kuendelea kuletea updates stay blessed.
 
Mkuu mimi Siwezi kujua mambo yote. Ila idadi ya Wavamizi Warusi walokufa, naweza kupata kila siku. Wali alipopata likizo hakurudi. Hivyo siwezi kujua anaendeleaje sababu sina taarifa zake. Warusi wanakufa wengi. Zamani Urusi walikuwa wanatoa taarifa sasa hivi hawafanyi. Hivyo tunahesabu mizoga na kutoa idadi ila ni zaidi ya hao. Sababu wengine unakuta mizoga imekaa zaidi ya miezi miwili. So takwimu za Ukraine zinajikita kwenye mizoga ilokusanywa sio wale majeruhi walokufa hospital za Urusi.
 
Mkuu Figganigga vipi yule sniper wetu Wali anaendeleaje.Pia tunaomba uwe unatuwekea idadi ya askari wa urusi waliokwishakufa na kijeluhiwa kama zamani ulivokua unafanya.Hongera Kwa kuendelea kuletea updates stay blessed.
Pia hata Ukraine wana propaganda sio kila kitu wanachosema ni sahihi. Mfano kombora lilitua Poland wakasema ni Urusi lakini ukweli ilikuwa ni Ukriane ndo maana iliisha kimya kimya. Sio kila habari napost hadi nijihakikishie kwani kuna connection ya watu wengi frontline japo washikaji wengi kama Dany na wengine nane walikufa kule Mariupol. Tangu wafe niliteteleka sana kupata habari sahihi. Ila sasa tupo sawa. Uliza swali. Mimi ni Timu Azov
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…