Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Urusi wamesema wanasitisha Maahambulizi kwenye mji wa Vuhledar Mkoani Donetsk kwa sababu ya hali ya hewa. Ukweli tatizo sio hali ya hewa bali wamepelekewa moto wakapoteza wanajeshi wengi na vifaa vya Jeshi. Kwani hali ya hewa haiwahusu Ukraine? Mbona wamekomaa nayo? Urusi wasitafute visingizio.
 
Nchi za wenzetu zimeendelea. Jioni ya leo Nchi nzima inapiga alarm. Inadaiwa kuna mashambulizi wa drone za Urusi zitavamia. So watu wanajificha kwenye mahandaki na Wanajeshi wanawasha mitambo ya kuwinda Drone ambazo sasa zinarushwa Usiku. Tusubiri asubuhi ya kesho kujua madhara na ngapi zimedakwa
 
Tunamwomba Mungu drone za uvamizi zisilete madhara badala yake ziteketezwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…