figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #10,781
Urusi wakitafakari baada ya Kukimbizwa kama mbwa koko huko Ugledar🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viva UKRAINEKuanzia jana hadi leo, Urusi wamepoteza Wanajeshi zaidi ya mia saba (700)
View attachment 2506227
View attachment 2506226
Wazee wa HIMARS hawajawahi kutoa hukumu halafu isitekelezeke tena kwa ukamilifu. Never.Hawa wazee ni noma. Wakipita mahali lazima kielewekeAngalia HIMARS ilivyo teketeza Base ya Urusi. Wagners wanalia🤣🤣
View attachment 2506208
Hahahaaa.Kifaru mwendo kama vieiti, lakini waapi! Kimeishia hapo.Hapa ni Vuhledar na hawa ni Warusi wakipelekewa moto🤣🤣
View attachment 2506239
Kakimbiza mwenge kweli kweli 😂😂😂 ali panic, lakini mwisho wa siku kifaru kimeungua.Hapa ni Vuhledar na hawa ni Warusi wakipelekewa moto🤣🤣
View attachment 2506239
Sijaona kama na yeye dereva alitoka. Wote, kifaru+Dereva Jagajagaaa 😀 😀Kakimbiza mwenge kweli kweli 😂😂😂 ali panic, lakini mwisho wa siku kifaru kimeungua.
HIMARS akinusa na kuona target lazima akuachie scrapers. Siku akipewa long range atatafuna maghala anayoyatamani lakini hawezi kuyafikia kwa sasa.Angalia HIMARS ilivyo teketeza Base ya Urusi. Wagners wanalia🤣🤣
View attachment 2506208
😂😂 alipofunga break akatoka. Sema tu moshi umefanya usimuoneSijaona kama na yeye dereva alitoka. Wote, kifaru+Dereva Jagajagaaa 😀 😀
Kweli mkuu. Mrussi aombee sana isije ikatokea HIMARS akapata long range. Hakuna rangi Mrussi ataacha kuona.HIMARS akinusa na kuona target lazima akuachie scrapers. Siku akipewa long range atatafuna maghala anayoyatamani lakini hawezi kuyafikia kwa sasa.
Duh! Ataenda kusimulia.😂😂 alipofunga break akatoka. Sema tu moshi umefanya usimuone
Lazima atakuwa amechafua seat ya kifaru kwa kihoro kile 😂😂😂Duh! Ataenda kusimulia.