figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #10,901
Hataki internet ya Starlink itumike kuzuia Drones za Iran zimazorushwa na Urusi. Yaani anataka Urusi akirusha Drone wasitumie internet kudetect uelekeo wa Drone. Ni baada ya wiki. Mbili drone hazifanikiwi kufika kwenye Target. Zinapotelea njiani. Jamaa anatumikaElon Musk kazingua tena, Kajamm satellites za Starlink na kupelekea vikosi vya drones vya Ukraine vishindwe kupiga kazi vizuri.
Huyu inaelekea hata kununua twitter alikuwa na malengo ya kuisaidia Urusi, maana anafanya cencorship sana ya habari za vita huko UkraineDrones za Ukraine zinatumia internet pia. Hivyo Urusi kaona drone za Ukraine zimemkalia Vibaya, ikabidi atoe Fungu kwa Elon Musk japo kudogo. Kumbuka vita ni biashara na Mfuko wa Elon unazidi kutuna.
Ila hakuna kitakachoharibika as long as USA ipo upande wetu. Tunaweza msusia Starlink na tukafanya vizuri Frontline. Si mara ya kwanza kufanya ujinga wake. Alikata internet Ukraine ilipoanza mashambulizi Crimea na Daraja la Crimea
View attachment 2512256
Ndio. Account za Frontline wa Ukrane nyingi zinafungwa kisa wanapost picha za Urusi wakipewa kichapo. Nyingine zinafutwa contentHuyu inaelekea hata kununua twitter alikuwa na malengo ya kuisaidia Urusi, maana anafanya cencorship sana ya habari za vita huko Ukraine
Warussi wamepukutishwa kama maembe wakati wa kiangazi. Ila nawasifu kwa kutimua mbio si kwa vifaru au kwa pekupeku - ni wepesi sana kuliko digidigi Serengeti.
Hahahaa. Kishimo chao kimefumuliwa na waliokuwemo ndani nao wakaenda na maji. Jamaa anarudi hakuamini macho yake kwa kilichotokea anarudi tena mara ya pili kuhakikisha kama ni kweli alichoona
Inabidi akubaliane na matokeo; na avue gamba la usupapawa na kuvaa gwanda la mdebwedo.Biden rais wa Marekani kasema Putin inabidi awe mpole sababu kashapoteza vita dhida ya Ukraine. Kasema Ukraine kwa sasa Putin haiwezi
View attachment 2512067
Mmmm. Naona Mrussi anaimbishwa wimbo wa "jua lile literemke mama..."
Ndio. Account za Frontline wa Ukrane nyingi zinafungwa kisa wanapost picha za Urusi wakipewa kichapo. Nyingine zinafutwa content
Anapenda attentionHivi kwa nini huyu wasimushughulikie, maana anakwamisha majambo??!!
Mungu yupo upande wa UkraineAlarm ya Drones za Urusi imeshalia Ukraine nzima. Tuone ngapi zitafanya uharibifu leo. Mitambo imewashwa bila internet ya Starlink. Zije, zitadondoshwa tu
View attachment 2512276
WapigweeeeWarusi ni Vibaka, wezi wavamizi na Wanyang'anyi
View attachment 2512281
Naye asusiwe huduma yake kama urusiHuyu inaelekea hata kununua twitter alikuwa na malengo ya kuisaidia Urusi, maana anafanya cencorship sana ya habari za vita huko Ukraine
Kitendo cha Urussi kukwapua ardhi ya Ukraine sasa kinawatokea puani. Wamechanganyikiwa hawajui tena mbele au nyuma ni wapi. 🙄Warusi wanapata tabu sana kwenye ardhi waliyovamia kwa kwa mbwembwe
View attachment 2512044
Ndioooo; Tena sanaaaa.Wapigweeee