Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Elon Musk kazingua tena, Kajamm satellites za Starlink na kupelekea vikosi vya drones vya Ukraine vishindwe kupiga kazi vizuri.
Hataki internet ya Starlink itumike kuzuia Drones za Iran zimazorushwa na Urusi. Yaani anataka Urusi akirusha Drone wasitumie internet kudetect uelekeo wa Drone. Ni baada ya wiki. Mbili drone hazifanikiwi kufika kwenye Target. Zinapotelea njiani. Jamaa anatumika
 
Drones za Ukraine zinatumia internet pia. Hivyo Urusi kaona drone za Ukraine zimemkalia Vibaya, ikabidi atoe Fungu kwa Elon Musk japo kudogo. Kumbuka vita ni biashara na Mfuko wa Elon unazidi kutuna.

Ila hakuna kitakachoharibika as long as USA ipo upande wetu. Tunaweza msusia Starlink na tukafanya vizuri Frontline. Si mara ya kwanza kufanya ujinga wake. Alikata internet Ukraine ilipoanza mashambulizi Crimea na Daraja la Crimea
20230210_090850.jpg
 
View attachment 2512256
Huyu inaelekea hata kununua twitter alikuwa na malengo ya kuisaidia Urusi, maana anafanya cencorship sana ya habari za vita huko Ukraine
 
Back
Top Bottom