uchumi2018
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 1,657
- 2,406
Wasomaji wa biblia wanajua Mungu aliufanya moyo wa faraho kuwa mgumu dhidi ya wanawa israelNi mwendawazimu tu ndo anaweza kusema Russia itashinda vita hii. Russia hana ubavu wa kushindana na mataifa yote yale kwa uchumi ule. Ni ndoto za abunuasi.
mpaka alipopigwa pigo kubwa ndo akasalimu amri baada ya hasara kubwa.