uchumi2018
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 1,657
- 2,406
Slava Ukraine [emoji1255]Biden rais wa Marekani kasema Putin inabidi awe mpole sababu kashapoteza vita dhida ya Ukraine. Kasema Ukraine kwa sasa Putin haiwezi
View attachment 2512067
Slava Ukraine [emoji1255]Urusi anataka vita ipiganiwe mjini ili apate sababu ya kubomoa nyumba za raia. Msituni hawataki kuja. Na ukiwafuata mjini wanaficha silaha kwenye makazi ya watu ili ukilipua raia wafe ionekane umeua raia wako.
View attachment 2512257
Slava Ukraine [emoji1255]Japan imetoa msaada wa Generator 259 kwa Frontline ili ziwasaidie kupata Umeme ili kupambana na baridi. Na matumizi mengine ya umeme kama kupikia nk. Hii Vita Mrusi hatoboi
View attachment 2512258
Slava Ukraine [emoji1255]Bendera ya Azov. Kila mtu anajivunia kuwa AZOV
View attachment 2512275
Slava Ukraine [emoji1255]Alarm ya Drones za Urusi imeshalia Ukraine nzima. Tuone ngapi zitafanya uharibifu leo. Mitambo imewashwa bila internet ya Starlink. Zije, zitadondoshwa tu
View attachment 2512276
Hizo mbio kama mashindano ya marathon ππππ
Huenda hawa watu wanavutishwa bangi ndo wanaenda frontline. They act unprofessional at the frontline. Unaona kifaru cha mwenzako kimelipuka na wewe unaenda pale pale.Vifaru vya Warusi vilijichanganya na kupita ktk njia yenye mabomu ya kutega ardhini. Kilichowatokea sasa!
View attachment 2513365
πππ ukiona anakili huyo kuwa wanahitaji muda mrefu kiasi hicho maana yake maji yako shingoni. Kina ni kirefu mpaka maji yapungue ndo wapite. Wanajua kabisa mzigo ukifika wote na makamanda wakafuzu mafunzo shughuli itakuwa pevu.Prigozhin, yule bosi wa Wagner asema Urusi inahitaji mwaka mmoja na nusu hadi miwili kuweza kuikamata kikamilifu Luhansk na Donetsk.
Sasa kama majimbo hayo mawili yanachukua miaka, Je walidhani wangeichukua Ukraine nzima kwa wiki?
View attachment 2514049
2. Huo muda anaosema wa 2yrs maana yake mpaka Russia ajiandae kikamilifu in terms of military equipment na personnel. Kasi ya uzalishaji wa silaha haiendenani na mahitaji ya sasa frontline. There is inadequate military equipment production continuity to meet the demand.πππ ukiona anakili huyo kuwa wanahitaji muda mrefu kiasi hicho maana yake maji yako shimgoni. Kina ni kirefu mpaka maji yapungue ndo wapite. Wanajua kabisa mzigo ukifika wote na makamanda wakafuzu mafunzo shughuli itakuwa pevu.
2. Huo muda anaosema wa 2yrs maana yake mpaka Russia ajiandae kikamilifu in terms of military equipment na personnel. Kasi ya uzalishaji wa silaha haiendenani na mahitaji ya sasa frontline. There is inadequate military equipment production continuity to meet the demand.
3. Ni mwendawazimu tu ndo anaweza kusema Russia itashinda vita hii. Russia hana ubavu wa kushindana na mataifa yote yale kwa uchumi ule. Ni ndoto za abunuasi.
Sasa kama majimbo hayo mawili yanachukua miaka, Je walidhani wangeichukua Ukraine nzima kwa wiki?Prigozhin, yule bosi wa Wagner asema Urusi inahitaji mwaka mmoja na nusu hadi miwili kuweza kuikamata kikamilifu Luhansk na Donetsk.
Sasa kama majimbo hayo mawili yanachukua miaka, Je walidhani wangeichukua Ukraine nzima kwa wiki?
View attachment 2514049
Huenda alipata bangi mbichi ya huku kwetu Musoma ππππSasa kama majimbo hayo mawili yanachukua miaka, Je walidhani wangeichukua Ukraine nzima kwa wiki?
Mahesabu , Mahesabu...Jamani; Aliyekokotoa hesabu la hiyo SOP ya Mrussi na akapata soln. eti ni 72 hrs. alikuwa vodka nyingi na bange mbichi kichwani na Darasani alipata F ya Mathematics. Sasa unategemea nn hapo?