uchumi2018
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 1,657
- 2,406
Nimeona BBC world Zele anapokelewa kwa shangwe na kuahidiwa kwamba umoja wa ulaya upo naye bega kwa bega.
Wanaosema anaomba misaada ,mimi nasema ni haki yake
hata wewe ukivamiwa na majambazi nyumbani kwako unapiga simu polisi.
Kwanini huwa hatunyamazi tukapambana nao peke yetu?