Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Ni mwendawazimu tu ndo anaweza kusema Russia itashinda vita hii. Russia hana ubavu wa kushindana na mataifa yote yale kwa uchumi ule. Ni ndoto za abunuasi.
Wasomaji wa biblia wanajua Mungu aliufanya moyo wa faraho kuwa mgumu dhidi ya wanawa israel
mpaka alipopigwa pigo kubwa ndo akasalimu amri baada ya hasara kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…