Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

MBona askarinwa Ukrain wenyewe hawana hizi tabia kaka yaani wao wanakuwaga wote wanavaa combat za aina moja ata kama ni kundi la watu 100 au 50 lakini wanakuwa na uniform moja je Ukrain yenyewe haina vikosi tofauti tofauti vinavyoshirikiana au ni kaka emu tueleweahe vyema apa tujue
Nadhani ameishakujibu,mrusi ni mvamizi hivyo angependa ajibadilishe rangi kwa kadri inavyowezekana ili asijulikane kirahisi,ni kama majambazi wanapopigana na polisi wao kinga yao kubwa ni raia. Wangependa wafanane na raia ili wasionwe kirahisi.
Na kwangu naona ni ishara ya urusi kuishiwa,uniform ni ghrarama,kwa hiyo anapenda kila mamruki anayemwajiri aje na nguo yake kupunguza gharama.
 
Urusi aliharibu mji wa Bucha hadi hautamaniki. Anaona wivu. Ukraine imejengwa kwa mpangilio hadi mitaa, yeye mji wake kama mbagala kibonde maji au Mburahati. Anabomoa nyumba aonekane mbabe mbona kambi za jeshi haendi. Na ubabe wote, Urusi imeshindwa kukanyaga Volyn, Lviv wala hajawahi kanya mkoa Livne. Wala hiyo mikoa haijawahi kimbia nchi. Anaonea Mikoa aliyo pakana nayo. Kuna makombora yanatoka Urusi hadi Ukraine moja kwa moja. Ukraine inataka silaha za masafa marefu ila Marekani bado anabana.
Na akizipata hizo patachimbika,ni mwendo wa kulenga sehemu muhimu ndani ya russia.
Kweli marekani kiranja wa dunia anafanya checks & balance
 
Watu wa air defense system wakipewa Mafunzo jinsi ya kutumia Silaha za NATO
IMG_20230217_173429_260.jpg
IMG_20230217_173429_221.jpg
IMG_20230217_173429_321.jpg
IMG_20230217_173429_410.jpg
 
Sehemu ambazo zinashikiliwa na Urusi wanafanya uhalibifu. Hiki ni chuo kipo Mariupol, Jeshi la Urusi linatupa vitabu vya Ukraine na kuvichoma moto. Eti wanafuta utaifa na historia ya Ukraine kwa kizazi kijacho. Wanadai wataleta Vitabu vyenye utamaduni wa Urusi
20230218_074404.jpg
 
Back
Top Bottom