Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Nadhani ameishakujibu,mrusi ni mvamizi hivyo angependa ajibadilishe rangi kwa kadri inavyowezekana ili asijulikane kirahisi,ni kama majambazi wanapopigana na polisi wao kinga yao kubwa ni raia. Wangependa wafanane na raia ili wasionwe kirahisi.
Na kwangu naona ni ishara ya urusi kuishiwa,uniform ni ghrarama,kwa hiyo anapenda kila mamruki anayemwajiri aje na nguo yake kupunguza gharama.
 
Na akizipata hizo patachimbika,ni mwendo wa kulenga sehemu muhimu ndani ya russia.
Kweli marekani kiranja wa dunia anafanya checks & balance
 
Sehemu ambazo zinashikiliwa na Urusi wanafanya uhalibifu. Hiki ni chuo kipo Mariupol, Jeshi la Urusi linatupa vitabu vya Ukraine na kuvichoma moto. Eti wanafuta utaifa na historia ya Ukraine kwa kizazi kijacho. Wanadai wataleta Vitabu vyenye utamaduni wa Urusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…