Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Ukiangalia hii vita urusi vs ukraine binadamu hana thamani kabisa, ardhi inathaminiwa kuliko uhai
The answer is YES, sababu zipo nzuri tu;
1. Imeandikwa binadamu ni lazima atakufa tu hata bila kupigwa risasi. Ipo siku atakufa lakini Ardhi haifi itakuwepo milele na milele.

2. Ardhi inadumu milele na milele na italisha vizazi na vizazi mpaka mwisho wa dunia hii, lakini binadamu hawezi kudumu milele na milele. Binadamu analisha kizazi kimoja au viwili tu.

3. Ardhi ni Asset lakini binadamu ni Liability.

4. Kwenye ardhi unaweza kuweka permanent investment lakini binadamu si permanent investment.

5. Ardhi haizaliani lakini Binadamu wanazaliana kwa hiyo hata akifa mmoja atazaliwa mwingine, hata kama atazaliwa chotara lakini atakuwa amezaliwa mwanadamu.

6. Ardhi unaweza kuombea mkopo kwenye mabenki lakini binadamu huwezi kumkopea benki hata kumweka dhamana.

7. Ardhi ina thamani kubwa ndo maana watu kila siku watu wanauwana sababu ya ardhi au migogoro ya ardhi inaibuka kila siku, lakini sijawahi kuona watu wanamgombania binadamu au mgogoro wa kumgombania mwanadamu labda kama ni maiti.

Yapo mambo mengi lakini kwa leo niishie hapo.

Thamani ya binadamu ni Heshima na UTU wake tu. Sote tunatambua na tunakubaliana kuwa Uhai na utu wa mtu una dhamani lakini Ardhi ina thamani zaidi.

Mfano mzuri tu ni kwamba Putin sasa kapoteza udhamani na UTU wa ubinadamu wake. Mbele ya macho ya wa-Ukraine na dunia kwa ujumla hata akifa anastahili kuburuzwa hata kwenye Rami maana ni sawa sawa na fisi tu. Lakini Russia kama nchi itaendelea kuthaminiwa ili mradi itawaliwe na mtu mstaarabu.
 
Labda ameona hatupost akajua hazifanyi kazi. HIMARS zipo na zinapiga mzigo kamakawaida. HIMARS inalenga Maghala ya Silaha. Na kambi za kijeshi. Nikipata muda ntapost HIMARS zikiwa mzigoni
 
Labda ameona hatupost akajua hazifanyi kazi. HIMARS zipo na zinapiga mzigo kamakawaida. HIMARS inalenga Maghala ya Silaha. Na kambi za kijeshi. Nikipata muda ntapost HIMARS zikiwa mzigoni
Muwe mnasoma vizuri kile mtu ameandika na kuelewa basi mbona kubishana tena wakuu!!
 

Slava Ukrain
 
Ila Poland ana Mikwara, kanunua HIMARS 500 za Kulinda Mpaka kati yake na Belarus. Yaani Kila km1 HIMARS 1. Mpaka wa Poland na Belarus inakadiliwa kuwa na Urefu wa KM 500
View attachment 2522245
Poland kajifunza kutoka kwenye historia.
Wao walikuwa wahanga wa mwanzo wa kuvamiwa na Majeshi ya Hitler enzi za vita kuu ya pili. Sasa hivi hataki kukaa kilegelege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…