uchumi2018
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 1,657
- 2,406
Kongole sana figganigga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii machine ni noma, kwenye streets fight ombea adui asikutane na hii kitu.Hii ni BTR-4 huko Bakhmut Frontline
View attachment 2523675
Karne hii uimara wa jeshi unapimwa kwa kupasua tofari. This is ridiculous !!!! 😂😂😂😂. Wenzao wanapima uimara wa jeshi kwa Technology aliyonayo. Labda wanafikiri frontline watu wanacheza mieleka. 😂😂😂Belarusi anamtishia Maisha Poland kisa anashirikiana na Ukriane. Sasa leo jumapili wanatisha watu kwa kuonesha uimara wa jeshi lao. Haina tofauti na Jeshi letu tu. Eti wanapasua jiwe kifuani mara tofari kwa kichwa🤣
View attachment 2523191View attachment 2523192View attachment 2523193View attachment 2523194
Safi sana, kwa ziara hii F-16 na ATACMS zitakujaLeo Rais wa Marekani Joe Biden, atembelea Nchi ya Ukraine. Hapa ni akiwa Kyiv
View attachment 2524018
Wamejadili jinsi ya kushinda vita mwaka huu na kuahidi kutoa msaada usio na mashaka wa silaha pamoja na dola million 500 kwa Ukraine.Safi sana, kwa ziara hii F-16 na ATACMS zitakuja
Putin alishatepeta zamani. Anajikakamua tuWamejadili jinsi ya kushinda vita mwaka huu na kuahidi kutoa msaada usio na mashaka wa silaha pamoja na dola million 500 kwa Ukraine.
Kazi ipo kwa Putin.
Hapo Game la Ukraine vs Russia (Putin) ndo litaishia hapoWamejadili jinsi ya kushinda vita mwaka huu na kuahidi kutoa msaada usio na mashaka wa silaha pamoja na dola million 500 kwa Ukraine.
Kazi ipo kwa Putin.
Dah! Kizee cha watu (Putin) jamaa wanaenda kukimaliza kimasihara.Putin alishatepeta zamani. Anajikakamua tu
Ni kwa akili hizo ndo mana Mrussi anachezeshwa kwata kana kwamba bado ni Kuruta wa jeshi.Karne hii uimara wa jeshi unapimwa kwa kupasua tofari. This is ridiculous !!!! 😂😂😂😂. Wenzao wanapima uimara wa jeshi kwa Technology aliyonayo. Labda wanafikiri frontline watu wanacheza mieleka. 😂😂😂
Hii vita wataalamu wameshaicheza draft mezani tuyaonayo leo ni marudio tu,Russia ya sasa hivi itakuja kuvimbiwa na vi nchi vidogo ambavyo ni majirani zake.Hapo Game la Ukraine vs Russia (Putin) ndo litaishia hapo