Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Belarusi anamtishia Maisha Poland kisa anashirikiana na Ukriane. Sasa leo jumapili wanatisha watu kwa kuonesha uimara wa jeshi lao. Haina tofauti na Jeshi letu tu. Eti wanapasua jiwe kifuani mara tofari kwa kichwa🤣
View attachment 2523191View attachment 2523192View attachment 2523193View attachment 2523194
Karne hii uimara wa jeshi unapimwa kwa kupasua tofari. This is ridiculous !!!! 😂😂😂😂. Wenzao wanapima uimara wa jeshi kwa Technology aliyonayo. Labda wanafikiri frontline watu wanacheza mieleka. 😂😂😂
 
Wamejadili jinsi ya kushinda vita mwaka huu na kuahidi kutoa msaada usio na mashaka wa silaha pamoja na dola million 500 kwa Ukraine.

Kazi ipo kwa Putin.
Hapo Game la Ukraine vs Russia (Putin) ndo litaishia hapo
 
Karne hii uimara wa jeshi unapimwa kwa kupasua tofari. This is ridiculous !!!! 😂😂😂😂. Wenzao wanapima uimara wa jeshi kwa Technology aliyonayo. Labda wanafikiri frontline watu wanacheza mieleka. 😂😂😂
Ni kwa akili hizo ndo mana Mrussi anachezeshwa kwata kana kwamba bado ni Kuruta wa jeshi.
 
Back
Top Bottom