Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

MMGEKUWA MNAJUA EDITING ILIPOFIKA NA UWEZO WA WEST IN EDITING AND FAKE PROPAGANDA MSINGEKUWA MNASHABIKIA UKRAINE

MM MIPO NA URUSI
 
Hata US President Joe Biden bila shaka ni editing imefanyika hakwenda Ukraine yuko zake Washington ametulia tunalishwa upepo tu hapa, au siyo mwamba [emoji848][emoji849][emoji849]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usiku wa kuamkia leo, Urusi walikuwa wanaenda kuvamia mji wa Avdiivka, mkoani Donetsk. Wamepigwa kama mbwa koko.. Nadhani ndo kichapo kikubwa Warusi wamepata tangu mwezi uanze. Maji wanaita mma. Tuliwaambia Warudi kwao hawataki
20230221_173932.jpg
 
Back
Top Bottom