Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Watakuwa walisinzia tu, wameamushwa. Wamelazimika kufufuka bila shuruti 😂😂😂😂😂
Aisee Mkuu, nimeanza kukuelewa. Leo Bakhmut tumepelekewa Moto kuanzia saa tisa za Usiku... Yaani Vumbi linatimuka balaa. Ngoja tuone🔥🔥🧨😩😩🚒🧯↖️↖

Halafu Thermal Weapon Sight (TWS) nazo zinatumiwa na Snipers. Hawa jamaa ni Vampires, wanakufa bado wanakuja tu
 
Bado nina imani, kwakuwa Kamanda wa kikosi cha ardhini cha Ukraine, Jenerali Syrskyi kaenda Bakhmut, anaweza akafanya jambo.
20230225_194556.jpg
20230225_194539.jpg
20230225_194535.jpg
20230225_194532.jpg
20230225_194529.jpg
 
Warusi walijifanya wamekufa wakashitukiwa🤣🤣
View attachment 2529646
Watakuwa walisinzia tu, wameamushwa. Wamelazimika kufufuka bila shuruti 😂😂😂
😂😂😂
Aisee Mkuu, nimeanza kukuelewa. Leo Bakhmut tumepelekewa Moto kuanzia saa tisa za Usiku... Yaani Vumbi linatimuka balaa. Ngoja tuone🔥🔥🧨😩😩🚒🧯↖️↖

Halafu Thermal Weapon Sight (TWS) nazo zinatumiwa na Snipers. Hawa jamaa ni Vampires, wanakufa bado wanakuja tu
Kwa upande wa Kaskazini mwa Bakhmut jana tu wamechukua Yahidne na Berkhivka. Washenzi wale walitumia Thermobaric attacks nje ya mji. Wamelipua artillery system zetu kadhaa. Lakini pia wamepiga offensive upande wa mashariki na wamefanikiwa kuwa na control ya mitaa kazaa ndani ya Bakhmut.

Wame deploy wanajeshi wengi sana Bakhmut na Artillery za kutosha.
 
Baada ya kuona Azov wameamua kubomoa bwawa la maji leo ili Wagners wasivuke, nikajua shughuli ipo. Yale maji wanategemea yanaweza wazui kwa masaa manne hadi nane tu
 
Ki ukweli Wagner wanapiga mzigo. Counter offensive wanayoifanya kaskazini mwa Bakhmut huenda ikasababisha majeshi ya Ukraine yaka retreat Bakhmut soon. Boss wa Wagner yuko sahihi kulalamika upungufu wa silaha. Maana kuanzia Jan mpak Feb 2023 wamefanya kazi kubwa sana kwa kuchukua eneo kubwa Direction ya Bakhmut.

Njia kuu zote kaskazini mwa Bakhmut ziko under Russia control na sasa wameanza kusonga mbele kwa kasi kuelekea Slovyansk na Kramatorsk. Ukraine troop lazima wata retreat kama hali hii itaendelea kabla ya mwisho wa mwezi huu.

Something has to be done by Ukrainian to reinforce their troops to rescue the situation.
Wapo wana malizia kozi mkuu soon wanakuja
ukraine_defence-20230220-0001.jpg
 
Ukraine inabidi tuongeze Wanajeshi na zana nzito za kivita au Turetreat. Otherwise itakuwa kama Mariupol. Warusi wanafanya mpango wa Kuizunguka ili waiweke mtu kati. Ngoja tuone mbinu za kivita hapa. Itakuwaje?
View attachment 2529864
The best way is to retreat to avoid loss of many soldiers. Yesterday we lost over 50 soldiers at Bakhmut.
 
Aisee Mkuu, nimeanza kukuelewa. Leo Bakhmut tumepelekewa Moto kuanzia saa tisa za Usiku... Yaani Vumbi linatimuka balaa. Ngoja tuone🔥🔥🧨😩😩🚒🧯↖️↖

Halafu Thermal Weapon Sight (TWS) nazo zinatumiwa na Snipers. Hawa jamaa ni Vampires, wanakufa bado wanakuja tu
Nilishawahi kuandika humu huyu Fanfa huwa ninaamini sana habari zake. Wote humu sisi ni pro ukraine ila kwenye ukweli tuambiane tuache mahaba.

Mwingine ni Missile of the Nation .
 
The best way is to retreat to avoid loss of many soldiers. Yesterday we lost over 50 soldiers at Bakhmut.
Ukraine wamesema kuwa kama wakiretreat Bakhmut zitakuja Bakhmut nyingine nyingi baada ya hii. Wanasema ni bora waweke mustand wapambane hapohapo Bakmut ili kulinda miji mingine isigeuke Bakhmut. Kama Ukraine wakifanikiwa hapo, itaturn tide ya vita mazima.
Bakhmut ikianguka itakuwa launch pad ya kureverse mafanikio yaliyopatikana Kharkiv
 
Ukraine wamesema kuwa kama wakiretreat Bakhmut zitakuja Bakhmut nyingine nyingi baada ya hii. Wanasema ni bora waweke mustand wapambane hapohapo Bakmut ili kulinda miji mingine isigeuke Bakhmut.
Halafu pale kuna vifaa vingi vya kovita ambavyo huwezi kuvihamisha muda mchache, hivyo wakiondoka watakuwa wamewachia mifumo ya Kivita Urusi. Hata hivyo mimi nina imani sana na Jeshi la Ukraine.
 
Back
Top Bottom