Ukisoma between lines maelezo haya yana support ninachokisema.
1. Paragraph one ina support nilichosema kuwa jeshi la Ukraine limesema kuwa more Russian Artillery, MLRS, Tanks and Mortars are concentrated in the area of Bakhmut.
2. Hoja iliyopo kwenye Paragraph two ni kwamba Jeshi linakanusha kuwa "....Russian forces cut of supply to the City". Ukisoma pia paragraph ya tatu sentence ya mwisho inasema "......adding that there several different supply routes". Maana yake bado haijakinzana na hoja yangu kuwa route ya Kramatorsk kwenye Bakhmut iko salama. Hizo ndo different supply routes zinazoongelewa. Hoja ya Russia wanasema wame cut off supply kuingia Bakhmut.
3. Paragraph ya nne anakiri kuwa Russian forces wame advance. Kitu ambacho hata mimi nilisema. Nashindwa kuelewa mnachopinga hapa ni kipi hasa? Maana ukweli uko wazi.
4. Msemaji wa Ukraine si mtakatifu kwamba lolote atakalosema ni kweli. Kuna mambo hata kama yana ukweli yanaweza kukanushwa kwa sababu maalum. Mfano halisi ni pale mji wa Soledar ilipochukuliwa jeshi lilikanusha huku wakijua ukweli.
Ushauri
1. We have to accept the reality on the ground.
2. Don't rush to oppose before making some findings to get the truth.
3. Others, also have trusted sources of information.
Mkiendelea Kubisha nitakaa kimya lakini ukweli utabaki pale pale.