Watakuwa walisinzia tu, wameamushwa. Wamelazimika kufufuka bila shuruti 😂😂😂😂😂Warusi walijifanya wamekufa wakashitukiwa🤣🤣
View attachment 2529646
Aisee Mkuu, nimeanza kukuelewa. Leo Bakhmut tumepelekewa Moto kuanzia saa tisa za Usiku... Yaani Vumbi linatimuka balaa. Ngoja tuone🔥🔥🧨😩😩🚒🧯↖️↖Watakuwa walisinzia tu, wameamushwa. Wamelazimika kufufuka bila shuruti 😂😂😂😂😂
Watakuwa walisinzia tu, wameamushwa. Wamelazimika kufufuka bila shuruti 😂😂😂Warusi walijifanya wamekufa wakashitukiwa🤣🤣
View attachment 2529646
Kwa upande wa Kaskazini mwa Bakhmut jana tu wamechukua Yahidne na Berkhivka. Washenzi wale walitumia Thermobaric attacks nje ya mji. Wamelipua artillery system zetu kadhaa. Lakini pia wamepiga offensive upande wa mashariki na wamefanikiwa kuwa na control ya mitaa kazaa ndani ya Bakhmut.Aisee Mkuu, nimeanza kukuelewa. Leo Bakhmut tumepelekewa Moto kuanzia saa tisa za Usiku... Yaani Vumbi linatimuka balaa. Ngoja tuone🔥🔥🧨😩😩🚒🧯↖️↖
Halafu Thermal Weapon Sight (TWS) nazo zinatumiwa na Snipers. Hawa jamaa ni Vampires, wanakufa bado wanakuja tu
Tumwombee huyo nguli wa ardhini kila la kheri - Mungu amjalie wepesi kufanikisha hicho kilichomsukuma hadi akaona ni bora aende huko Bhakmut in person. Tufanye subira.Bado nina imani, kwakuwa Kamanda wa kikosi cha ardhini cha Ukraine, Jenerali Syrskyi kaenda Bakhmut, anaweza akafanya jambo.
View attachment 2529828View attachment 2529829
Baada ya kuona Azov wameamua kubomoa bwawa la maji leo ili Wagners wasivuke, nikajua shughuli ipo. Yale maji wanategemea yanaweza wazui kwa masaa manne hadi nane tuWatakuwa walisinzia tu, wameamushwa. Wamelazimika kufufuka bila shuruti 😂😂😂
😂😂😂
Kwa upande wa Kaskazini mwa Bakhmut jana tu wamechukua Yahidne na Berkhivka. Washenzi wale walitumia Thermobaric attacks nje ya mji. Wamelipua artillery system zetu kadhaa. Lakini pia wamepiga offensive upande wa mashariki na wamefanikiwa kuwa na control ya mitaa kazaa ndani ya Bakhmut.
Wame deploy wanajeshi wengi sana Bakhmut na Artillery za kutosha.
Wapo wana malizia kozi mkuu soon wanakujaKi ukweli Wagner wanapiga mzigo. Counter offensive wanayoifanya kaskazini mwa Bakhmut huenda ikasababisha majeshi ya Ukraine yaka retreat Bakhmut soon. Boss wa Wagner yuko sahihi kulalamika upungufu wa silaha. Maana kuanzia Jan mpak Feb 2023 wamefanya kazi kubwa sana kwa kuchukua eneo kubwa Direction ya Bakhmut.
Njia kuu zote kaskazini mwa Bakhmut ziko under Russia control na sasa wameanza kusonga mbele kwa kasi kuelekea Slovyansk na Kramatorsk. Ukraine troop lazima wata retreat kama hali hii itaendelea kabla ya mwisho wa mwezi huu.
Something has to be done by Ukrainian to reinforce their troops to rescue the situation.
The best way is to retreat to avoid loss of many soldiers. Yesterday we lost over 50 soldiers at Bakhmut.Ukraine inabidi tuongeze Wanajeshi na zana nzito za kivita au Turetreat. Otherwise itakuwa kama Mariupol. Warusi wanafanya mpango wa Kuizunguka ili waiweke mtu kati. Ngoja tuone mbinu za kivita hapa. Itakuwaje?
View attachment 2529864
Nilishawahi kuandika humu huyu Fanfa huwa ninaamini sana habari zake. Wote humu sisi ni pro ukraine ila kwenye ukweli tuambiane tuache mahaba.Aisee Mkuu, nimeanza kukuelewa. Leo Bakhmut tumepelekewa Moto kuanzia saa tisa za Usiku... Yaani Vumbi linatimuka balaa. Ngoja tuone🔥🔥🧨😩😩🚒🧯↖️↖
Halafu Thermal Weapon Sight (TWS) nazo zinatumiwa na Snipers. Hawa jamaa ni Vampires, wanakufa bado wanakuja tu
Ukraine wamesema kuwa kama wakiretreat Bakhmut zitakuja Bakhmut nyingine nyingi baada ya hii. Wanasema ni bora waweke mustand wapambane hapohapo Bakmut ili kulinda miji mingine isigeuke Bakhmut. Kama Ukraine wakifanikiwa hapo, itaturn tide ya vita mazima.The best way is to retreat to avoid loss of many soldiers. Yesterday we lost over 50 soldiers at Bakhmut.
Halafu pale kuna vifaa vingi vya kovita ambavyo huwezi kuvihamisha muda mchache, hivyo wakiondoka watakuwa wamewachia mifumo ya Kivita Urusi. Hata hivyo mimi nina imani sana na Jeshi la Ukraine.Ukraine wamesema kuwa kama wakiretreat Bakhmut zitakuja Bakhmut nyingine nyingi baada ya hii. Wanasema ni bora waweke mustand wapambane hapohapo Bakmut ili kulinda miji mingine isigeuke Bakhmut.