Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Sasa hivi technic ya Warusi huko Bakhmut ni kutumia human waves, yaani yanakuja mawimbi ya askari, Ukraine inawaua, wanakuja tena, inawaua wanakuja tena. Warusi wakifanikiwa kukamata position ndo wanakuja askari wazoefu then ndo wanaleta vifaa vyao. Ni tofauti na mwanzo ambapo walikuwa wanaleta vifaa na askari kwa pamoja.
Hata mimi nina imani na jeshi la Ukraine, naamini lipo linaandaa operation ya kukata mzizi wa fitina huko Bakhmut
 
Na hii ilikuwa mazoea hivyo Ukraine hakwenda na Vifaru vingi Bakhmut kwa kutegemea kutumia atakavyo teka kutoka Urusi. Matokeo yake Urusi haileti Vifaru tena, unatumia missiles then wanakuja watu kama nyuki wasio wataalam wanakufa then wanakuja wataalam na Vifaru nyie mshachoka. Urusi hawajali hata mwanajeshi akifa, wanamkanyaga wanasonga mbele.
 
Nimesoma mahali kuwa technic nyingine wanayotumia Warusi kwa sasa ni kama ile ambayo Waukraine waliitumia mwanzoni mwa vita, yaani wanakuja askari katika vikundi vya askari wachache lakini vikundi vingi mno. Wanaweza kuja ktk vikundi vya askar watano watano wa Wagner. Mkiwaengage wanajua mlipo, wanatuma taarifa za locations zenu kwa vikosi vyao vya artillery wanawanyeshea mizinga.
Ndiyo maana Wagner walipocheleweshewa mabomu ya mizinga walichachamaa mno, maana hiyo ni component muhimu ya utendaji wao.
 
Mathanzua hawezi kukubali kuwa Elon Musk kanunuliwa na Urusi maana Elon ni mdau wa NWO.
 
Kwa hiyo Wagner ndio wanatumika kama human waves ?
 
Kuna kipindi Pentagon waliishauri Ukraine wauache huu mji ili wajipange na offensive maeneo mengine ila walikataa hilo pendekezo....huu mji wanaulinda kwa gharama huku wanahitaji man power za offensive ijayo.
Mwanzoni hata mimi nilikuwa siwaelewi Ukraine kwa nini wanakomaa pale Bakhmut. Ila wakipaacha lazima itatokea mji mwingine Warusi watarudia pattern yao ya "Haribu kisha songa"

Katika vita lazima itokee mji mmoja au miwili ambapo mnadraw red line kwamba piga ua garagaza hamrudi nyuma
 
Ushauri wa Pentagon kwa Ukraine kujiondoa Bakhmut ili kuhifadhi man power kwa ajili ya offensive ulikuwa sahihi sema Ukraine waliukataa.
 
Sio kwamba walikataa kuondoka kwa 'political mileage' tu yaani kuonyesha raia wao na wafadhili bado wana uwezo wa kupambana ?
 
Mathanzua hawezi kukubali kuwa Elon Musk kanunuliwa na Urusi maana Elon ni mdau wa NWO.
This is impossible👉Drones za Ukraine zinatumia internet pia. Hivyo Urusi kaona drone za Ukraine zimemkalia Vibaya, ikabidi atoe Fungu kwa Elon Musk japo kudogo👈

Elon Musk most likely ni Reptilian,sasa Reptilian atakuwaje upande wa Putin wakati Putin amesema wazi he is defending people of God.That is very unlikely.Halafu aliyekuwa mke wa Elon Musk,Justine, ni gwiji la uchawi duniani na anatumia Talmudic Occult ambayo ni deadly.Hii pia inatumiwa na Khazarian Mafia kuwa tame Wanadamu,so she could also be Khazarian,na kama ni Khazarian,Ni wazi kuwa familia hiyo haipo upande wa Putin,kwa kuwa Khazarians and Russians are arch enemies.
 
Ideally uko sahihi. Tufanyaje sasa. Hatuna Artillery, tanks, MLRS na ndege za kutosha Bakhmut. Wenzetu wanatushambulia kwa ndege, wana Artillery na tanks za kutosha na wame deploy infantry men wa kutosha.

Wakifanya hivo tutapoteza askari wengi na bado Bakhmut itachukuliwa. Kuwekwa kati si jambo lenye afya kwenye vita. Ku retreat siyo kushindwa vita. Ni kurudi nyuma ili upate muda wa kujipange vizuri.

Bakhmut needs tanks, Artillerys, MLRS and fighting jet. Hapo ndo tutavunja frontline ya Russia kwa Bakhmut. Ni risk kuweka infantry men bila kuwa cover na Artillerys, MLRS & fighting jet.
 
Kuna kipindi Pentagon waliishauri Ukraine wauache huu mji ili wajipange na offensive maeneo mengine ila walikataa hilo pendekezo....huu mji wanaulinda kwa gharama huku wanahitaji man power za offensive ijayo.
Hata mimi sitaki huu mji tuuachie, sababu ndo njia ya kwenda kikomboa Mariupol nyumbani mwa Azov. Kule kuna chuma.. Ndo maana hata Urusi akaiachia Kherson kwenye matikiti maji wanajeshi wakaenda kuongeza nguvu Donetsk ili wahakikishe Ukraine haifiki Mariupol ili waendelee kuiba chuma. Yaani Bakhmut ni kama Izyum. Ni sehemu zinashikwa ili ufike sehemu fulani. Kama Ukraine wakiretreat mipango ya kuirudisha Mariupol mwezi wa nane tusahau
 
Kwa jinsi West walivyoamua kupeleka vitu vya uhakika kule Ukraine, soon utaona muziki unavyokwenda

Kwa sasa Vifaru vya Leopard 2, Air defenses, Long range missiles (UK wamesema wanaprovide) na silaha nyingine nyingi tu zinapelekwa Ukraine kuipiga tafu.

Disadvantage kuu ya Ukraine ni Manpower, Urusi ina manpower kubwa zaidi , Lakini Manpower haifui dafu mbele ya Tekinolojia.

Bado kuna silaha nyingi sana katika arsenal ya west hawajampa Ukraine, kwa mfano F-16. Muda ukifika utaona nazo wanampa pia.

Iko hivi. West kamwe hatokubali kupoteza vita hii, wakiipoteza itasignal kuanguka kwa west dominated world na kamwe hawatokubali hilo litokee, watamsaidia Ukraine kwa udi na uvumba
 
Bakhmut is a military Hub. Pale ni makutano ya njia kuu kama 5 hivi. Kwa Ukraine Bakhmut ni muhimu sana. Ikiwa under control ya Russia wata paralyse logistics supply routes.
 
Tatizo ni delivery time. Tukinyang'anywa Bakhmut ni pigo kubwa sana. Mzigo mkubwa wa kuwawezesha Ukraine kuanzisha counter offensive bado joint coordinating ina mobilize na kuwapatia mafunzo wanajeshi. Mzigo mkubwa utaanza kuingia end of March.
 
Tatizo ni delivery time. Tukinyang'anywa Bakhmut ni pigo kubwa sana. Mzigo mkubwa wa kuwawezesha Ukraine kuanzisha counter offensive bado joint coordinating ina mobilize na kuwapatia mafunzo wanajeshi. Mzigo mkubwa utaanza kuingia end of March.
Frontline hakuna kazi ngumu kama kuchimba mahandaki, mikiyaachia mahandaki yenu wakayashika, ni blaa. Kwani sio rahisi kuanzisha Frontline mpya, ndo maana wanajeshe wakiretreat wanaondoka sehemu kubwa. Mfano Urusi walivyo retreat Kherson.

Urusi ni wezi, penye mali wanang'ang'ania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…