Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Sasa hivi technic ya Warusi huko Bakhmut ni kutumia human waves, yaani yanakuja mawimbi ya askari, Ukraine inawaua, wanakuja tena, inawaua wanakuja tena. Warusi wakifanikiwa kukamata position ndo wanakuja askari wazoefu then ndo wanaleta vifaa vyao. Ni tofauti na mwanzo ambapo walikuwa wanaleta vifaa na askari kwa pamoja.
Hata mimi nina imani na jeshi la Ukraine, naamini lipo linaandaa operation ya kukata mzizi wa fitina huko Bakhmut
Hata mimi nina imani na jeshi la Ukraine, naamini lipo linaandaa operation ya kukata mzizi wa fitina huko Bakhmut