figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #11,421
Warusi walijifanya wamekufa wakashitukiwa[emoji1787][emoji1787]
View attachment 2529646
Bado nina imani, kwakuwa Kamanda wa kikosi cha ardhini cha Ukraine, Jenerali Syrskyi kaenda Bakhmut, anaweza akafanya jambo.
View attachment 2529840View attachment 2529841View attachment 2529842View attachment 2529843View attachment 2529844
Angalia Wagners wanavyokufa kama sisimizi Bakhmut
View attachment 2530065
Urusi wanajifia Bakhmut ardhi ya ugenini
View attachment 2530076View attachment 2530077View attachment 2530078
View attachment 2530079
Paka huyu kachagua sehemu ngumu. Angeanzia kwenye kende asingehangaika vile. Maana ngozi ya Katsap ni ngumu mno. πππ
Duh! Mrusi ni mtu wa ajabu sana. Anaua watu wake kwa kuwatanguliza mbele eti ni wa thamani ndogo ili yeye anayejiona wa thamani kubwa aendeelee kushamiri au kuishi. Ni sawa sawa na e.g. njaa imeingia mahali halafu wewe unachinja watu wako ili ule nyama zao upate kuishi/kuwa hai.Na hii ilikuwa mazoea hivyo Ukraine hakwenda na Vifaru vingi Bakhmut kwa kutegemea kutumia atakavyo teka kutoka Urusi. Matokeo yake Urusi haileti Vifaru tena, unatumia missiles then wanakuja watu kama nyuki wasio wataalam wanakufa then wanakuja wataalam na Vifaru nyie mshachoka. Urusi hawajali hata mwanajeshi akifa, wanamkanyaga wanasonga mbele.
Dah! Iko siku hao Wagner watagundua au kubaini kwamba wanatumika kama chambo. Sasa hivi kuna sintofahamu kati ya Viongozi wa Wagner na Majenerali wa Jeshi rasmi la Urusi na isitoshe Wagner wanalalamika hawapewi tena ipasavyo mahitaji yao.Naam, siyo Russia regular army