Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Urusi wanajifia Bakhmut ardhi ya ugenini
IMG_20230225_233703_616.jpg
IMG_20230225_233703_198.jpg
IMG_20230225_233703_248.jpg

IMG_20230225_233703_585.jpg
 
Na hii ilikuwa mazoea hivyo Ukraine hakwenda na Vifaru vingi Bakhmut kwa kutegemea kutumia atakavyo teka kutoka Urusi. Matokeo yake Urusi haileti Vifaru tena, unatumia missiles then wanakuja watu kama nyuki wasio wataalam wanakufa then wanakuja wataalam na Vifaru nyie mshachoka. Urusi hawajali hata mwanajeshi akifa, wanamkanyaga wanasonga mbele.
Duh! Mrusi ni mtu wa ajabu sana. Anaua watu wake kwa kuwatanguliza mbele eti ni wa thamani ndogo ili yeye anayejiona wa thamani kubwa aendeelee kushamiri au kuishi. Ni sawa sawa na e.g. njaa imeingia mahali halafu wewe unachinja watu wako ili ule nyama zao upate kuishi/kuwa hai.
Huo ni ufedhuli mkubwa wa kiwango cha kutisha na Inasikitisha mno.
 
Naam, siyo Russia regular army
Dah! Iko siku hao Wagner watagundua au kubaini kwamba wanatumika kama chambo. Sasa hivi kuna sintofahamu kati ya Viongozi wa Wagner na Majenerali wa Jeshi rasmi la Urusi na isitoshe Wagner wanalalamika hawapewi tena ipasavyo mahitaji yao.
Hapo ni kwamba Wagner wanatumika tu kama ufagio.
 
Back
Top Bottom