Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Warusi wapo ktk offensive, ukiondoka Bakhmut hawatoishia hapo. Ni bora kuwachelewesha ili kuruhusu vikosi vya counteroffensive vijiposition vizuri.
Hapo kwenye kuwachelewesha wakati huna IFV za kutosha ni kuhatarisha zaidi maisha ya askari...

.ikitokea wamezungukwa hapo Bakhmut kabla ya Ukraine kuanza counter offensive itakuwa hasara kubwa mno.
 
Warusi wapo ktk offensive, ukiondoka Bakhmut hawatoishia hapo. Ni bora kuwachelewesha ili kuruhusu vikosi vya counteroffensive vijiposition vizuri.
Kipi Bora usubiri uzungukwe wakuteke na wakumalize wewe na vifaa vyako au u retreat ili ujipange upya kwa counter offensive kuikomboa Bakhmut. Sasa hivi hata barabara kuu iliyokuwa imebaki iko under Wagner fire control.

Kwa taarifa nilizopata ni kuwa Ukraine troops watakuwa wameondoka Bakhmut ndani ya saa 24. Hii haihusiani na propaganda za Katsaps. Japo imetangazwa kuwa hawata retreat lakini ni mbinu ya kivita tu. "No way Ukraine troops have to retreat to save losses of military personnel." The next hoop for Ukranian troops is Kostyantynivka after retreating Bakhmut.
 
Naona hata Zelensky amekiri kuwa hali Bakhmut ni ngumu ngumu ngumu mno
Kuwachukulia poa Wagner wakati wana mobilize troops, Tanks, Artillery na MLRS kwa ajili ya offensive yao lilikuwa kosa kubwa. Ukraine waliamini kuwa watawateketeza na vifaa vyao. Pia propaganda ya Prigozhin kuwa wameishiwa na risasi na vifaa vingine ziliwafanya Ukraine waka relax kidogo.
 
Yule jemadari mpya wa Ukraine aliyepostiwa Bakhmut vp hajaanza kuonesha weledi wake wa kivita?
Kumbe ilikuwa ni mojawapo ya mbinu za kivita. Lakini naamini Ukraine nao wanaweza ku-retreat kama mojawapo ya mbinu ya kivita
 
Waliongia Mjini Bakhmut ni askari wazoefu na wana mbinu haswa za kijeshi. Possibly ni wale Wagner wenye long experience.

Mimi bado naamini Bakhmut itakuwa ya kwanza kukombolewa, kama Ukraine ikipata Tanks nzito na Artillery za kutosha.
 
Waliokuwa mafunzo nimeona clip wakiwa wameiva katika matumizi ya IFV.
 
Hivi Wagner wana vifaru?- Nilidhani labda wao ni mgambo fulani hivi , jeshi la miguu.

Vipi kuhusu Grads, wanazo?
 
Hivi Wagner wana vifaru?- Nilidhani labda wao ni mgambo fulani hivi , jeshi la miguu.

Vipi kuhusu Grads, wanazo?
Vifaa vingi vizito huwa wanapewa na Mrusi. Baadhi ya askari wa Wagner ni askari wabobezi (wanao uzoefu mkubwa katika vita) ila walishastaafu kutoka jeshi rasmi la Urusi na pia ni askari walio wahi kushiriki mapambano ya kivita sehemu mbali mbali duniani. Wale askari waliokuwa mobilized kutoka mitaani na magereza ya Urusi ndo unaweza kuwaita Mgambo.
 
Bakhmut Hali ni Tete kwa Ukraine, ninachoona Russia ni kama vile wamebadili mbinu za kupigana wanaenda mdogo mdogo wanateka Kijiji baada ya Kijiji mwishon Jimbo nzima tofauti na mwanzo ambapo walikuwa wanaingia kichwa kichwa kama Kumbikumbi.

I Stand with Ukraine.
 
Tujikumbushe Urusi walivyokuwa Wanaivamia Odessa. Walikuja kama ming'ombe. Walotandikwa balaa.. Ndo wakaanza kupambana kwa adabu
Your browser is not able to display this video.
 
Hivi Wagner wana vifaru?- Nilidhani labda wao ni mgambo fulani hivi , jeshi la miguu.

Vipi kuhusu Grads, wanazo
Yes, umeobserve sahihi sana.

Mwanzoni walitawanya resouces sehemu nyingi ikawagharimu. Sasa hivi wanachokifanya ni kwamba wakitarget sehemu, basi wanavoncentrate resources hapo mpaka wafanikiwe kisha wanasonga kwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…