kawombe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 14,239
- 15,876
Ghala la Silaha na risasi la Urusi, limeteketezwa huko Luhansk
View attachment 2534058
Slava Ukrain
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ghala la Silaha na risasi la Urusi, limeteketezwa huko Luhansk
View attachment 2534058
Wavamizi watano kutoka Urusi, wamedakwa huko Luhansk
View attachment 2534069
Kifaru cha Ukraine aina ya BMP-2, kikiwapelekea moto Wagners
View attachment 2534073
Urusi wamepelekewa moto kwenye handaki hadi Wakajisalimisha
View attachment 2534089
Heroiam slavaSlava Ukrain
Naam mkuu; Walau clip hiyo inathibitisha Ukraine bado wapo ngangari huko Bakhmut tofauti na tunayoyasikia maneno ya huko mtaani.Bakhmut urusi wakipewa dawa
View attachment 2534201
Bakhmut urusi wakipewa dawa
View attachment 2534201
Anti-aircraft missiles za Ukraine huko Donetsk
View attachment 2534140
Hahahaa.Safi sana. Risasi, Ngumi hata mateke Mrusi anabutuliwa kishenzi yan. Slava Ukraine.Urusi wamepelekewa moto kwenye handaki hadi Wakajisalimisha
View attachment 2534089
Hey ! Jamaa (Mrusi) kadakwa au vp. Mbona ana uso wa hofu na mashaka?
Kadakwa anajifanya kutia huruma. Hapo ukimpa bunduki anakuua fasta. Jamaa wanamjoke🤣🤣Hey ! Jamaa (Mrusi) kadakwa au vp. Mbona ana uso wa hofu na mashaka?
Hakika kuna kitu Mpango mkakati wa Ukraine kinaendelea. Tumesoma mengi yasiyopendeza yahusuyo hali huko Bakhmut na mawazo yetu yakazama huko- Kumbe yajayo(Crimea) yanafurahisha. Slava Ukraine.Crimea leo imepelekewa moto. Bado hawajasema wamekufa wangapi. Ni kwenye base ya Urusi
View attachment 2534210
Mkuu; Hapo ni vifaru 6 vya Urusi. Mm nadhani ni typing error.Vifaru 6 vya Ukraine vimeteketezwa Luhansk
View attachment 2534066
Hahahaaa Hapo Warusi wameminywa k*nde kwa plaisi.Warusi wanajuta
View attachment 2534218