Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Slovakia ina ndege 11 za Kisoviet aina ya MiG-29. So kasema 10 atampa Ukriane halafu moja iliyobaki itawekwa Makumbusho. Nchi nyingi wameanza kuacha kutumia Silaha za Urusi kutokana na kumuunga Mkono Ukraine, hivyo wanahofia kukosa vipuri. Wataanza kutumia Silaha za Magaribi.
20230302_142143.jpg
 
Military intelligence wa Urusi kadakwa huko Donetsk. Alikuwa anakusanya taarifa kambi za Ukraine zilipo au vifaru vilipofichwa ili vilipuliwe. Sasa ataanza kupelelezwa yeye
View attachment 2534759
Sasa atatakiwa aseme au atoe Taarifa ya kina, inayoeleweka kuhusu vile vya Urusi vipo wapi na coordinates zake kikamilifu. Tofauti na hapo........
 
Wagner hawaamini, miji ya Khromovo na Chasov Yar-Bakhmut highway waliodai wameteka, imerudishwa na kufurushwa mbali huko km nyingi tu. Kazi inaendelea kujilinda na kurudisha maeneo yanayokaliwa kimabavu. Kazi nzuri ya kikosi cha anga. Mapambano yanaendelea
20230302_160937.jpg
 
Wagner hawaamini, miji ya Khromovo na Chasov Yar-Bakhmut highway waliodai wameteka, imerudishwa na kurushwa mbali huko km nyingi tu. Kazi inaendelea kujilinda na kurudisha maeneo yanayokaliwa kimabavu. Kazi nzuri ya kikosi cha anga. Mapambano yanaendelea
View attachment 2534878
Naona matunda ya zile re-inforcements ambazo serikali ya Ukraine ilisema inapeleka Bakhmut yameanza kuonekana.
 
Urusi wamerudia ule mchezo wao wa Machi mwaka jana wa kutengeneza Convoy wa vifaa vya Jeshi
View attachment 2535023
Kwani HIMARS amelala mpaka wafanye vile au ni picha ya Feb 24 2022.

Sasa hivi HIMARS akiona msululu wa namna ile udenda unamtoka kwanza then anabinuka kivyake anawaachia scrapers na mishikaki 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom