Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Picha ya leo Bakhmut.. Jua limechomoza
20230302_184436.jpg
 
Urusi wamerudia ule mchezo wao wa Machi mwaka jana wa kutengeneza Convoy wa vifaa vya Jeshi
View attachment 2535023
1. Urusi hawezi akarudia kisilani kile tena . Bado ana kumbukumbu ya kilichompata mwaka jana.

2. HIMARS yuko macho na kazi yake ni kunyemelea mkusanyiko wa vifaru kama ule. Unless iwe mbali ya range yake
 
Nina wasiwasi na wachina kama wakianza kumpa sapoti Mrusi ya vifaa.
Hii itacomplicate sana mission ya Ukraine.
 
Yaani Convoy yote ya Urusi imesambaratishwa na vifaru viwili tu vya Ukraine. Urusi wamekiri kwamba Vifaru vyao vya IFV vimeteketezwa kwenye location 48.110168, 37.683090 Vodyane, Mkoani Donetsk. Lazima wamekufa wengi sababu vinabeba wanajeshi
 
Mchina yuko bize na hali ya Taiwan kwani imemkalia pabaya. Sidhani atakuwa na muda wa kuhangaika na huyo boya. Westerners wana akili sana:
Mchina wamemwelekea kifikra Taiwan na N.K. wamemwelekeza S.K. Kwa mantiki hiyo wako bize wanakomaa na hali zao hawatakuwa na muda au ari ya kutoa msaada wakati nyumbani kuna fitna linalofukuta. Endapo watatoa msaada utakuwa ni msaada wa kujikosha tu hautakuwa ni msaada genuine au wenye Afya.
 
Yaani Convoy yote ya Urusi imesambaratishwa na vifaru viwili tu vya Ukraine. Urusi wamekiri kwamba Vifaru vyao vya IFV vimeteketezwa kwenye location 48.110168, 37.683090 Vodyane, Mkoani Donetsk. Lazima wamekufa wengi sababu vinabeba wanajeshi
View attachment 2535336
Mrusi bhana! Yani akili zake sijui zinakaaga wapi. Hakujifunza kwa yaliyompata Feb 2022 kuhusu hayo makonvoi yake. Ngoja alete tena mengine.
 
Back
Top Bottom