Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Slovakia ina ndege 11 za Kisoviet aina ya MiG-29. So kasema 10 atampa Ukriane halafu moja iliyobaki itawekwa Makumbusho. Nchi nyingi wameanza kuacha kutumia Silaha za Urusi kutokana na kumuunga Mkono Ukraine, hivyo wanahofia kukosa vipuri. Wataanza kutumia Silaha za Magaribi.
View attachment 2534751

Slava Ukrain
 
Nina wasiwasi na wachina kama wakianza kumpa sapoti Mrusi ya vifaa.
Hii itacomplicate sana mission ya Ukraine.
1. China haitaweza kumsaidia Russia kwenye vita hii. Yuko upande wa Russia kibiashara zaidi.

2. China yuko kibiashara zaidi. Lengo kuu la china ni kunufaika na Rasilikali za mafuta, gesi, mbolea na makaa ya mawe baada ya EU kukataa bidhaa hizo. China kashaona fursa za biashara pale.

3. Focus ya China ni kukuza uchumi wake uwe mkubwa zaidi ya USA. Anajua wakimpa silaha Russia atawekewa vikwazo na uchumi wake utadumaa.
 
1. China haitaweza kumsaidia Russia kwenye vita hii. Yuko upande wa Russia kibiashara zaidi.

2. China yuko kibiashara zaidi. Lengo kuu la china ni kunufaika na Rasilikali za mafuta, gesi, mbolea na makes ya mawe baada ya EU kukataa bidhaa hizo. China kashaona fursa za biashara pale.

3. Focus ya China ni kukuza uchumi wake uwe mkubwa zaidi USA. Anajua wakimpa silaha Russia atawekewa vikwazo na uchumi wake utadumaa.
Good analysis!
 
Jagajagaa kasema leo anawaondoa Vijana wake wa drone Bakhumut. It means kaona hatari. Ila kasema Vikosi vingine bado vipo Bakhumut vinapiga mzigo na kuwapelekea moto urusi. Anasema anaenda kuongeza nguvu Kwenye vikosi vingine sehemu nyingine.
 
Ukraine wametengeneza Vilkha-M system yao yenye kwenda umbali mrefu kuliko HIMARS. Sasa wqtaipiga Urusi wenyewe bila kutegemea msaada wa Lonv range za NATO.
View attachment 2535688
Waw! Kwa Mtaji huu; hapo Mrusi sasa itabidi avae boxer mbili-mbili. Atakuwa na kazi ya kujilinda na kuilinda miundo mbinu iliyo ndani ya uwezo wa Vilkha -M, lakini pia atakuwa na kazi ya ziada aliyojianzishia mwenyewe kwa upumbavu na ubabe wake ya vita nchini Ukraine.
 
Moscow jana kimewaka. Ila hawasemi. Iskanders ilitua Kolomna.
20230303_132541.jpg
 
Ukraine wametengeneza Vilkha-M system yao yenye kwenda umbali mrefu kuliko HIMARS. Sasa wqtaipiga Urusi wenyewe bila kutegemea msaada wa Lonv range za NATO.
View attachment 2535688
Kwa kumbukumbu zangu Ukraine wanayo hiyo MLRS tangu 2019. Labda kama wameiboresha. Ina max range distance ya 130KM accurately hit. HIMARS ina uwezo wa kupiga 300KM accurately. Au una maana wametengeneza long range missile za kurushwa na Vilkha-M
 
Jagajagaa kasema leo anawaondoa Vijana wake wa drone Bakhumut. It means kaona hatari. Ila kasema Vikosi vingine bado vipo Bakhumut vinapiga mzigo na kuwapelekea moto urusi. Anasema anaenda kuongeza nguvu Kwenye vikosi vingine sehemu nyingine.
View attachment 2535623
Ukisikia wanasema hivyo kuwa atawaondoa ni kwamba walishaondolewa Bakhmut. Huwezi kutangaza kabla hujawaondoa ni Risk. Ni sawa na kutangaza kuwa nita retreat mahala fulani wakati bado hujaondoka.
 
Kwa kumbukumbu zangu Ukraine wanayo hiyo MLRS tangu 2019. Labda kama wameiboresha. Ina max range distance ya 130KM accurately hit. HIMARS ina uwezo wa kupiga 300KM accurately. Au una maana wanatengeneza long range missile za kurusha na Vilkha-M
Wameiboresha.. Wamesema ina uwezo wa kupiga umbali zaidi ya HIMARS. Naona wametumia Teknolojia ya HIMARS kwenye kuboresha. Vita inafundisha vingi.
 
Back
Top Bottom