OSEFUKANY
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 2,437
- 3,896
Kweli mkuu; Hapo ujue Mrusi ataimba na kujiitikia mwenyewe kwani ngoma sasa inaenda kuchezwa nyumbani kwake mwenyewe.Kama Missile ya Ukraine imeweza kufika Kolomna, hakuna kizuizi cha kutokufika Moscow.
View attachment 2535847
Ataonja Utamu wa Kupigwa na adui aliye mbali na Utamu wa kutumia ving'ora 24/7 hrs.