kawombe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 14,239
- 15,876
Angalia warusi wanavyo ptatabu Vuhledar
View attachment 2531806
Slava Ukrain
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia warusi wanavyo ptatabu Vuhledar
View attachment 2531806
Warusi wapo ktk offensive, ukiondoka Bakhmut hawatoishia hapo. Ni bora kuwachelewesha ili kuruhusu vikosi vya counteroffensive vijiposition vizuri.
Zelensky ajiondoe tu Bakhmut ili kulinda maisha ya askari kwa ajili ya offensive ijayo.
Hapo kwenye kuwachelewesha wakati huna IFV za kutosha ni kuhatarisha zaidi maisha ya askari...Warusi wapo ktk offensive, ukiondoka Bakhmut hawatoishia hapo. Ni bora kuwachelewesha ili kuruhusu vikosi vya counteroffensive vijiposition vizuri.
Naona hata Zelensky amekiri kuwa hali Bakhmut ni ngumu ngumu ngumu mnoHapo kwenye kuwachelewesha wakati huna IFV za kutosha ni kuhatarisha zaidi maisha ya askari...
.ikitokea wamezungukwa hapo Bakhmut kabla ya Ukraine kuanza counter offensive itakuwa hasara kubwa mno.
Kipi Bora usubiri uzungukwe wakuteke na wakumalize wewe na vifaa vyako au u retreat ili ujipange upya kwa counter offensive kuikomboa Bakhmut. Sasa hivi hata barabara kuu iliyokuwa imebaki iko under Wagner fire control.Warusi wapo ktk offensive, ukiondoka Bakhmut hawatoishia hapo. Ni bora kuwachelewesha ili kuruhusu vikosi vya counteroffensive vijiposition vizuri.
Kuwachukulia poa Wagner wakati wana mobilize troops, Tanks, Artillery na MLRS kwa ajili ya offensive yao lilikuwa kosa kubwa. Ukraine waliamini kuwa watawateketeza na vifaa vyao. Pia propaganda ya Prigozhin kuwa wameishiwa na risasi na vifaa vingine ziliwafanya Ukraine waka relax kidogo.Naona hata Zelensky amekiri kuwa hali Bakhmut ni ngumu ngumu ngumu mno
Yule jemadari mpya wa Ukraine aliyepostiwa Bakhmut vp hajaanza kuonesha weledi wake wa kivita?Kipi Bora usubiri uzungukwe wakuteke na wakumalize wewe na vifaa vyako au u retreat ili ujipange upya kwa counter offensive kuikomboa Bakhmut. Sasa hivi hata barabara kuu iliyokuwa imebaki iko under Wagner fire control.
Kwa taarifa nilizopata ni kuwa Ukraine troops watakuwa wameondoka Bakhmut ndani ya saa 24. Hii haihusiani na propaganda za Katsaps. Japo imetangazwa kuwa hawata retreat lakini ni mbinu ya kivita tu. "No way Ukraine troops have to retreat to save losses of military personnel." The next hoop for Ukranian troops is Kostyantynivka after retreating Bakhmut.
Kumbe ilikuwa ni mojawapo ya mbinu za kivita. Lakini naamini Ukraine nao wanaweza ku-retreat kama mojawapo ya mbinu ya kivitaKuwachukulia poa Wagner wakati wana mobilize troops, Tanks, Artillery na MLRS kwa ajili ya offensive yao lilikuwa kosa kubwa. Ukraine waliamini kuwa watawateketeza na vifaa vyao. Pia propaganda ya Prigozhin kuwa wameishiwa na risasi na vifaa vingine ziliwafanya Ukraine waka relax kidogo.
Waliongia Mjini Bakhmut ni askari wazoefu na wana mbinu haswa za kijeshi. Possibly ni wale Wagner wenye long experience.Yule jemadari mpya wa Ukraine aliyepostiwa Bakhmut vp hajaanza kuonesha weledi wake wa kivita?
Kumbe ilikuwa ni mojawapo ya mbinu za kivita. Lakini naamini Ukraine nao wanaweza ku-retreat kama mojawapo ya mbinu ya kivita
Waliokuwa mafunzo nimeona clip wakiwa wameiva katika matumizi ya IFV.Waliongia Mjini Bakhmut ni askari wazoefu na wana mbinu haswa za kijeshi. Possibly ni wale Wagner wenye long experience.
Mimi bado naamini Bakhmut itakuwa ya kwanza kukombolewa, kama Ukraine ikipata Tanks nzito na Artillery za kutosha.
Hivi Wagner wana vifaru?- Nilidhani labda wao ni mgambo fulani hivi , jeshi la miguu.Kuwachukulia poa Wagner wakati wana mobilize troops, Tanks, Artillery na MLRS kwa ajili ya offensive yao lilikuwa kosa kubwa. Ukraine waliamini kuwa watawateketeza na vifaa vyao. Pia propaganda ya Prigozhin kuwa wameishiwa na risasi na vifaa vingine ziliwafanya Ukraine waka relax kidogo.
Vifaa vingi vizito huwa wanapewa na Mrusi. Baadhi ya askari wa Wagner ni askari wabobezi (wanao uzoefu mkubwa katika vita) ila walishastaafu kutoka jeshi rasmi la Urusi na pia ni askari walio wahi kushiriki mapambano ya kivita sehemu mbali mbali duniani. Wale askari waliokuwa mobilized kutoka mitaani na magereza ya Urusi ndo unaweza kuwaita Mgambo.Hivi Wagner wana vifaru?- Nilidhani labda wao ni mgambo fulani hivi , jeshi la miguu.
Vipi kuhusu Grads, wanazo?
Battalion ya Kwanza ya Ukraine, nimemaliza mafunzo na mazoezi ya kutumia Vifaru aina ya M2 Bradley BMP. Naamini wataongeza nguvu Frontline
View attachment 2532286
Hivi Wagner wana vifaru?- Nilidhani labda wao ni mgambo fulani hivi , jeshi la miguu.Kuwachukulia poa Wagner wakati wana mobilize troops, Tanks, Artillery na MLRS kwa ajili ya offensive yao lilikuwa kosa kubwa. Ukraine waliamini kuwa watawateketeza na vifaa vyao. Pia propaganda ya Prigozhin kuwa wameishiwa na risasi na vifaa vingine ziliwafanya Ukraine waka relax kidogo.
Yes, umeobserve sahihi sana.Bakhmut Hali ni Tete kwa Ukraine, ninachoona Russia ni kama vile wamebadili mbinu za kupigana wanaenda mdogo mdogo wanateka Kijiji baada ya Kijiji mwishon Jimbo nzima tofauti na mwanzo ambapo walikuwa wanaingia kichwa kichwa kama Kumbikumbi.
I Stand with Ukraine.