Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Yevgeny Prigozhin, Kiongozi wa Wagner Group amesema kwamba Russia inatakiwa imtafutie Wanajeshi elfu 20 hadi elfu 30 wadundishwe ili waweze kuikamata Bakhmut kwa haraka
View attachment 2537162
Kha! Ni kichekesho cha aina yake. Yan ni kama contactor unachukua kazi kwa Mkataba halafu unamgeukia Tajiri aliyekuajiri na kumwambia kwamba: "Ninataka unipe saidia fundi au vibarua ili kazi iendelee"
BTW wote ni Warusi, wanajuana wenyewe kwa wenyewe
 
Yevgeny Prigozhin, Kiongozi wa Wagner Group amesema kwamba Russia inatakiwa imtafutie Wanajeshi elfu 20 hadi elfu 30 wenye nguvu wafundishwe ili waweze kuikamata Bakhmut kwa haraka
View attachment 2537162
Sura imekaa kiwakala wa shetani kabisa. Anatamani damu za watu tu. Huyu mtu hata kwa kumwangalia hayuko normal lazima atakuwa anavuta bangi au kutumia madawa. Yuko Upset.
 
Sura imekaa kiwakala wa shetani kabisa. Anatamani damu za watu tu. Huyu mtu hata kwa kumwangalia hayuko normal lazima atakuwa anavuta bangi au kutumia madawa. Yuko Upset.
Ananuka damu za watu wengi sana. Hata akinawa mikono yake haitokaa itakate. Very brutal guy.
 
Yevgeny Prigozhin, Kiongozi wa Wagner Group amesema kwamba Russia inatakiwa imtafutie Wanajeshi elfu 20 hadi elfu 30 wenye nguvu wafundishwe ili waweze kuikamata Bakhmut kwa haraka
View attachment 2537162
Huenda tu labda ni giriba anataka Ukrainian troops waamini kuwa hawana personal wa kutosha kumbe anajua kwa sasa wanatosha. Kama alivyodanganya kuwa wameishiwa silaha kumbe wanazo baada ya siku 3 akaanza mashambulizi mazito.
 
Kukamata Ukraine ndoto hiyo ilishazima Siku nyingi.

Ndiyo maana walibadilishia gia angani wakajimilikisha Kherson, Luhansk, Donetsk na Zaporizhzhia.
Kwa mtiti unaoendelea kwa sasa, hata hizo ataziachia tu. Ukraine wanalijua gemu na wanalimudu. Sasa naona sio frontline tu bali wanakinukisha hata ndani ya Urusi kwenyewe. Hii itazidi kumchanganya sana Urusi kwani hajui kesho itakuwa ni wapi Iskander itatua. Slava Ukraine
 
Bakhmut wataichukua kwa muda ila itarudi tu counter offensive zikianza. Baada ya kuvunja daraja juzi wameharibu sana logistics za kuingia Bakhmut.
 
Huenda tu labda ni giriba anataka Ukrainian troops waamini kuwa hawana personal wa kutosha kumbe anajua kwa sasa wanatosha. Kama alivyodanganya kuwa wameishiwa silaha kumbe wanazo baada ya siku 3 akaanza mashambulizi mazito.
Ukraine, in the first place, huwa hawaamini chochote kisemwacho kutoka kwa Mrusi au Wagners. Adui yako hawezi kukutangazia eti kaumia hapa au pale na hilo Ukraine analijua kwani liko wazi. Huwezi kurecruit askari 20,000-30,000, uwape mafunzo waive ndipo uende front. Muda wote huo ni nani atakuwa anakusubiri? Ni Mchezo wa kitoto huo.
 
Prigozhin, Boss wa Wagners amesema kama ikitokea Wagners wakaretreat kutoka Bakhmut, itawalazimu warusi haraka hadi mpakani mwa Ukraine na Urusi.

Jamaa wametafsiri hapa video
Your browser is not able to display this video.

00:00 β†’ 00:04
If the Wagner PMC retreats from Bakhmut now, the whole front will fall apart.
00:05 β†’ 00:07
And today, Wagner PMC is cement.
00:07 β†’ 00:08
That's what I said.
00:08 β†’ 00:12
On the one hand, we're bringing the entire Ukrainian army to bear, to grind, to destroy,
00:12 β†’ 00:15
We're not giving them the chance to concentrate on other areas of the front.
00:15 β†’ 00:19
On the other hand, we move forward, and the others have to catch up with us somehow,
00:19 β†’ 00:23
To save my face, my reputation.
00:23 β†’ 00:26
Plus, of course, they're learning and understanding that it can be done.
00:27 β†’ 00:29
Because it's very important to break the stereotype, whether we can or we can't.
00:29 β†’ 00:32
Yes, we can. We can, so can you guys, come on
00:33 β†’ 00:38
If the Wagner PMC is now rolling over, then this is the story.
00:38 β†’ 00:42
It's clear that the front will be sprinkled, the front will be sprinkled for the Russian borders, maybe it will continue to be sprinkled.
00:43 β†’ 00:46
It's not going to be a very good situation for any of the paramilitary groups.
00:46 β†’ 00:48
They're the ones who protect Russia's interests.
00:48 β†’ 00:50
And for the Wagner PMC, it's going to be another story.
00:51 β†’ 00:53
The Wagner PMC has withdrawn from Bahmut.
00:53 β†’ 00:56
And the story will be told in the following terms.
00:56 β†’ 01:02
A mercenary group led by Pribojine, she convinced President Putin of its necessity.
01:03 β†’ 01:06
We were actually called when it was tough, but, you know, we were convinced.
01:07 β†’ 01:12
After that, she stood on Bakhmut and began to re-mould, concentrate on herself the Ukrainian army.
01:13 β†’ 01:21
After that, the mercenary group didn't agree on money, I don't know, there, on the furry puppies, the harems or anything else.
01:21 β†’ 01:29
With the leadership of the state, the Ministry of Defense, the Ministry of Finance or the Lugansk People's Republic, the spring effect worked.
01:30 β†’ 01:43
The PEC Wagner bounced back and the tense Ukrainian army left-right on the flanks, as well as in the center, broke into the territory of the LPR, dared Lugansk, dared Krasnodon, came to the territory of Russia.
01:44 β†’ 01:47
The army was forced to try to stabilize the front and the flanks were sprayed.
01:47 β†’ 01:51
Then came the Crimean War, and many other disasters.
01:51 β†’ 01:53
That's why Wagner PMC is cement today.
01:54 β†’ 02:00
At the very top, something that stabilizes and prevents the enemy from breaking through.
02:00 β†’ 02:10
If we stand down, we will go down in history forever as the people who took the first step to the next war.
02:11 β†’ 02:15
And that's the problem with that very shell-hunger.
02:15 β†’ 02:17
I don't care who it was.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…