Mdogo mdogo, itafika mahala tutawaona na ndala. 😂😂😂😂Angalia Viatu vya Warusi waliotekwa Bakhmut 🤣🤣🤣
View attachment 2538007
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdogo mdogo, itafika mahala tutawaona na ndala. 😂😂😂😂Angalia Viatu vya Warusi waliotekwa Bakhmut 🤣🤣🤣
View attachment 2538007
1. Huenda ni viatu vya raia wa Ukraine watakuwa wamepora.Duh! Kila soja kajivalia alichaweza kupata. Pengine hivi viatu ni baadhi ya vile walivyoiba / dhulumu raia wa Ukraine kipindi kile.
Mkuu hali ya Bakhmut tunaweza kupindua meza au tayari 'jamaa' wameishaichukua?Mdogo mdogo, itafika mahala tutawaona na ndala. 😂😂😂😂
It is unpredictable. The battle situation is still immense, they (Russia) are holding the position. They are advancing but very slow. It is unlikely Russian will encircle Bakhmut soon despite of destroying the Bridge. The likehood of Ukrainian troops to retreat is highly considered.Mkuu hali ya Bakhmut tunaweza kupindua meza au tayari 'jamaa' wameishaichukua?
Hahahaa. Lakini hilo mbele ya wapambanaji wa Ukraine wanadakwa tuu. Mbona walifikia hatua ya kujificha ndani ya nyumba za Raia wa Ukraine wakiwa wamevaa kiraia lakini bado walidakwa? Mrusi ana akili kama ya mbuni. Anadhani kuvaa kiraia kutamwondolea kuwa ni askari wa Urusi na ni Adui? Inanikumbusha enzi zile hapa Tz huwezi kuingia kijijini na kulala hapo bila kujitambulisha kwa Mjumbe wa nyumba kumi. Ukijifanya jeuri unafungwa kamba.1. Huenda ni viatu vya raia wa Ukraine watakuwa wamepora.
2. Huenda wanakaa nusu kiraia ili mambo yakienda mlama wanajigeuza kuwa raia.
Vijana wa sasa hivi hawajui umuhimu wa Balozi wa nyumba kumi. Mgeni akilala kwako bila kumtambulisha kwa Balozi unashughulikiwa. Idd amin alibadirisha mfumo wa maisha yetu kiusalama.Hahahaa. Lakini hilo mbele ya wapambanaji wa Ukraine wanadakwa tuu. Mbona walifikia hatua ya kujificha ndani ya nyumba za Raia wa Ukraine wakiwa wamevaa kiraia lakini bado walidakwa? Mrusi ana akili kama ya mbuni. Anadhani kuvaa kiraia kutamwondolea kuwa ni askari wa Urusi na ni Adui? Inanikumbusha enzi zile hapa Tz huwezi kuingia kijijini na kulala hapo bila kujitambulisha kwa Mjumbe wa nyumba kumi. Ukijifanya jeuri unafungwa kamba.
Wakati mwingine watu wanasema Shida/Tatizo huwaunganisha watu, huwakutanisha na hufanya watu wafahamiane, huunganisha nia za watu pamoja zaidi. e.g. Msiba. Sasa inapokuwa ni suala la vita basi mshikamano ndo unakuwa ni zaidi.Vijana wa sasa hivi hawajui umuhimu wa Balozi wa nyumba kumi. Mgeni akilala kwako bila kumtambulisha kwa Balozi unashughulikiwa. Idd amin alibadirisha mfumo wa maisha yetu kiusalama.
Wa Ukraine sasa hivi wanafahamiana sana. Mgeni wanam sport kwa dakika chache.
Wangekuwa Warusi wameshaichukua Bakhmut, hapa pasingetosha kwa makelele na mashangilo yao. Ukiona kimya ujue darasa linaendelea.Mkuu hali ya Bakhmut tunaweza kupindua meza au tayari 'jamaa' wameishaichukua?