Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Bakhmut bado ipo Mikononi mwa Ukriane, pamoja na Mashambulizi Ukriane wanapata, bado Urusi hawajaweza kupenya. Angalia ramani mbili hizi kisha fanya mlinganisho
20230306_004410.jpg
20230306_004414.jpg
 
Hili eneo lilikuwa linashikiliwa na Wagners huko Bakmut. Wamepelekewa moto hadi wakakimbia. Hakuna jiwe limesalia juu ya jiwe wala hakuna mti ulosalia wala mtu🤣🤣🤣
View attachment 2538685
Ukiona msitu umegeuka kuwa vipande vya kuni maana yake Ukraine wana very powerful machine. Huenda Bradley imepelekwa huko.
 
Sura imekaa kiwakala wa shetani kabisa. Anatamani damu za watu tu. Huyu mtu hata kwa kumwangalia hayuko normal lazima atakuwa anavuta bangi au kutumia madawa. Yuko Upset.
Hii sura nilikuwa sijawahi kuiona,ila juzi nilimsikia akiongea BBC radio, eti kumsihi Zelensky aaamrishe wanajeshi wake wa retreat jinsi alivyokuwa anaongea nikasema huyu jamaa lazima atakuwa mlevi sana wa pombe,kwahio nakubaliana na wewe kwa sura hii hata madawa atakuwa anatumia huyu
 
Yana (Yara) Rykhlitska, 29, Ambulance alokuwa amepanda ikiwa na Majeruhi wa Frontline ilishambuliwa akapoteza maisha. Alikuwa anafanya kazi ya kujitolea kuwasaidia Majeshi ya Ukriane. RIP
View attachment 2538714View attachment 2538718View attachment 2538719
View attachment 2538726
View attachment 2538728
View attachment 2538781View attachment 2538780View attachment 2538779View attachment 2538778View attachment 2538777
View attachment 2538809
Apumzike kwa amani,hivi Ambulance inaruhusiwa kushambuliwa?
 
Back
Top Bottom