Novobakhmutivka, Donetsk. Vifaru nane vya Urusi viliharibiwa na Kuna Wanajeshi baadhi wa Urusi waliotekwa
View attachment 2536913
Drones zomeshambulia Bohari za mafuta huko Tuapse nchini Urusi
View attachment 2536959
Yevgeny Prigozhin, Kiongozi wa Wagner Group amesema kwamba Russia inatakiwa imtafutie Wanajeshi elfu 20 hadi elfu 30 wenye nguvu wafundishwe ili waweze kuikamata Bakhmut kwa haraka
View attachment 2537162
Urusi wanakoma huko Bakhmut
View attachment 2537410
Hii video imetolewa kwaajili ya Documentation. Sio ya karibuni. Hapa ni lynove magharibi Mkoani Donetsk.Ghala la silaha za warusi karibu na Bakhmut lalipuliwa
View attachment 2536414
Asante sana. Umefanya homework yako vizuri sana.Hii video imetolewa kwaajili ya Documentation. Sio ya karibuni. Hapa ni lynove magharibi Mkoani Donetsk.
48.54589, 38.1194
View attachment 2537548View attachment 2537549
Duh! Kila soja kajivalia alichaweza kupata. Pengine hivi viatu ni baadhi ya vile walivyoiba / dhulumu raia wa Ukraine kipindi kile.Angalia Viatu vya Warusi waliotekwa Bakhmut 🤣🤣🤣
View attachment 2538007
Slava Ukraine 🇺🇦Urusi hawana Uchungu na Vifaa vyao vya jeshi.
View attachment 2537983